Word
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 1,356
- 3,235
sasa ukiwa umenizidi ndo nini sasa...yani wewe jua limezama tayari bado unaona iyo miaka 2 nyingi sana..haya bhana nisionekane nimekamia sana baki na papuchi yakoMmm
nitakuwa nimekuzidi umri
akhuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa ukiwa umenizidi ndo nini sasa...yani wewe jua limezama tayari bado unaona iyo miaka 2 nyingi sana..haya bhana nisionekane nimekamia sana baki na papuchi yakoMmm
nitakuwa nimekuzidi umri
akhuuuu
Siwezi kusema mpaka nipate ridhaa ya mleta mada.mkuu ungesema hayo mashaka uliyonayo
Hapana.Chini ya hiyo 37 hutaki kabisaa dada??
Haya mama all the best utawapata wa age hiyo.Hapana.
Ha ha haHapo kwenye kumaliza naye muda wa kuishi umenitisha sana mkuu
Umeathirika nini?
Hapana aiseeUmri ni namba tu.
Kikubwa mashine ifanye kazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha
kwani wee utaishi milele?? mpaka uwe na mashaka na muda wa kuishi.
Nimemaanisha wa kufa nae.
Kuna vipimo vya kufahamu HIV
Yaani kwakuwa tu muda umeenda basi niolewe na niliyemzidi umrisasa ukiwa umenizidi ndo nini sasa...yani wewe jua limezama tayari bado unaona iyo miaka 2 nyingi sana..haya bhana nisionekane nimekamia sana baki na papuchi yako
Sema tu mashaka yako nimekuruhusuNina mashaka na mleta mada ,akiniruhusu nitasema asiponiruhusu napiga kimya.
Ha ha ha ha haWamesema single mother hawatuoi mpk tuliozaa nao wafe, sijui km utapata lkn wakija wengi na mm nirushie mmoja ndugu yako
Njoo inboxNipe namba ya simu