Natafuta mume tuoane

Check na Davey 2017,mwaweza kuyajenga maana mnahitaji sawa!
 
Uzi kama huu wenye kutafuta hitaji la roho,moyo,mwili na akili hauwezi kunoga bila kuweka picha mkuu.

Anyway kila la kheri
 
Kwa nini usijioe mwenyewe!!!?maana umri wako kikwazo bana
 
Kwanini usianike picha yako watu wathamanishe?
Hilo la kwanza, la pili ni hili la sifa ya umtakaye! Kwamba aged,msomi na mkristo asiye m7to!
Mbona naona kama mzaha f'lan'iv?
Hivi unaweza ukampenda mtu toka rohoni, bila kumfahamu kwa kumuona na kupiga nae stori?
Ama ulishajikatia tamaa kwa kutendwa na washenzi, kwa hiyo sasa umeamua kumpenda yeyote tu, bila kujali sura,tabia na haiba yake, isipokuwa kwa vigezo hivyo pekee?
Ukifanikiwa nipatie mrejesho.
 
You seems to be a very nice lady good luck and all the best on your search.

 
Hili la kuzidiwa umri na bidada halafu hataki mahusiano ya kimapenzi sababu tu kakuzidi umri mie linanishangaza sana hasa kama tofauti hiyo ni kati ya mwaka na miaka mitano.

sasa ukiwa umenizidi ndo nini sasa...yani wewe jua limezama tayari bado unaona iyo miaka 2 nyingi sana..haya bhana nisionekane nimekamia sana baki na papuchi yako
 




Ni pm tuwasiliane, Nina vigezo vya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…