Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari nshachungulia tabia zako kupitia hii comment, isee pm uko pagumu...Mmm
nitakuwa nimekuzidi umri
akhuuuu
mi niko tayar tuish wote mamy ila nina 28ageLa kuvalia suruali lipo
Tabia za kukera toka kwa wasabato pekee .... [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Mungu atusaidieHawa wana masharti magumu sana!!
na ni wanatabia fulani hivi za kukera.
Kwa nini usijioe mwenyewe!!!?maana umri wako kikwazo banaSalama wakuu wa love connect.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.
Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.
Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.
Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.
Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
ungekuwa flexible mweer!!Mmm
nitakuwa nimekuzidi umri
akhuuuu
Salama wakuu wa love connect.

sasa ukiwa umenizidi ndo nini sasa...yani wewe jua limezama tayari bado unaona iyo miaka 2 nyingi sana..haya bhana nisionekane nimekamia sana baki na papuchi yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalau ulifanya la maana kuzaa, kuolewa ni majaliwa.
Braza! Hujaelewa maana? Yaani mkioana hadi kifo no divorceHapo kwenye kumaliza naye muda wa kuishi umenitisha sana mkuu
Umeathirika nini?
Kweli lakini sio wote.Ha ha ha ha ha
wanaume wabinafsi sana
wao watoto wanao na wanataka kuoa wasio na watoto!! ajabu sana