Natafuta mume tuoane

Natafuta mume tuoane

Huwataki wasabato maana hawatakuruhusu

UABUDU LISANAMU LA MARIA,

UNYWE POMBE

UFANYE IBADA ZA WAFU

Unataka hao wanaume mtakaokuwa mnaenda disko na kupigia magoti masanamu na kusali rozali, na kwenda makaburini kuombea wafu .


AISEE BORA UTAFUTE WANAUME WAABUDU MASANAMU WENZIO




Hii ndio sababu kubwa huwataki wasabato,
Umekejeli dini za watu bila kutumia lugha ya kificho, sio sawa hiyo, rekebisha mara moja
 
vigezo vyako nimefuzu tatizo kwa upande wangu linakuja hasa pale utakapokuwa unatumia kitwanga ndio umeshanikosa 🙁 kwa uzoefu wangu ma single parent ni walevi sijapata ona
Kweli aisee..hivi hilo huwa linasababishwa na nini? Au stress?
 
Huo ndio ukweli wa mleta uzi
Yeye kaandika kwa ufupi wala hajatoa kejeli kwa dini ya mtu, kasema isipokua msabato na hajasema kwanini hataki msabato, sasa wewe umekuja kuandika mara wanaabudu masanamu wanaabudu wafu we unaona umetumia busara?

Una uhakika huo usabato wako ndio hauna dosari?

Mimi sio mkiristo ila sijapenda lugha yako aisee.

Kama wasabato wamekamilika kiasi hicho basi tuambie kwanini wasabato hawana mchungaji mwanamke wala hawataki mchungaji mwanamke ilihali muanzilishi wa dini ya kisabato ni mwanamke Ellen G. White na vitabu vyake mnasoma sana, tuambie ni kwanini iko hivi??

Hakuna dini iliyokamilika cha msingi jitahidi kukamilisha nafsi yako maana ndio itakayoingia peponi au motoni.
 
siyo kosa lako una uzamani flan hivi
sasa unadhani heshima inakuja kwa kuzidi miaka! wangapi ni wakubwa na hawaheshimiwi, acha waone, kupendana na umri ni vitu tofauti.
nimekulia shamba pia ila naji evolve, maana hata uko shamba sku hizi hawana idea kama zako
Pole
 
Salama wakuu wa love connect.

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.

Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.

Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.

Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.

Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.

Sifa zote ninazo ila
Mimi najua kusoma na kuandika tu
Naweza kuwa mkuu wa mkoa usinibanie
 
Huwataki wasabato maana hawatakuruhusu

UABUDU LISANAMU LA MARIA,

UNYWE POMBE

UFANYE IBADA ZA WAFU

Unataka hao wanaume mtakaokuwa mnaenda disko na kupigia magoti masanamu na kusali rozali, na kwenda makaburini kuombea wafu .


AISEE BORA UTAFUTE WANAUME WAABUDU MASANAMU WENZIO




Hii ndio sababu kubwa huwataki wasabato,
Mkuu inaonekana imekuuma haswa
 
pole wewe mzee
.dunia inaenda mbele wewe bado unawaza ki miaka ya 70

ame mpita two yrs unasema ni marioo!! hahahaa
unaendelea kunishangaza mkuu.
Tatizo la utoto ndilo hilo kushupalia jambo moja. Mwenyewe kakueleza kuwa hapendi umarioo na kubemenda wewe umekazana na kutafuta free p. Kwanini uhangaike na waliokuzidi umri wakati ulowazidi wanahangaika? Unadhani kuoa ni papuchi tu? Hivi unajua kwanini waliooa ndio wachepukaji wakubwa? Unajua kunajua kuna kuambiwa njoo nikupe k nijilalie etc. Ukiwa dogo kubali kuitwa dogo kama ulivyoniita mshamba nikakubali
 
Back
Top Bottom