dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Huyo alizaa akiwa 35?sio akiwa 20's?Mpaka 35 bado hujapata usizae?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo alizaa akiwa 35?sio akiwa 20's?Mpaka 35 bado hujapata usizae?
Umekejeli dini za watu bila kutumia lugha ya kificho, sio sawa hiyo, rekebisha mara mojaHuwataki wasabato maana hawatakuruhusu
UABUDU LISANAMU LA MARIA,
UNYWE POMBE
UFANYE IBADA ZA WAFU
Unataka hao wanaume mtakaokuwa mnaenda disko na kupigia magoti masanamu na kusali rozali, na kwenda makaburini kuombea wafu .
AISEE BORA UTAFUTE WANAUME WAABUDU MASANAMU WENZIO
Hii ndio sababu kubwa huwataki wasabato,
you seem........! sorry if i have disgusted you in any way
Kweli aisee..hivi hilo huwa linasababishwa na nini? Au stress?vigezo vyako nimefuzu tatizo kwa upande wangu linakuja hasa pale utakapokuwa unatumia kitwanga ndio umeshanikosa 🙁 kwa uzoefu wangu ma single parent ni walevi sijapata ona
Huo ndio ukweli wa mleta uziUmekejeli dini za watu bila kutumia lugha ya kificho, sio sawa hiyo, rekebisha mara moja
Yeye kaandika kwa ufupi wala hajatoa kejeli kwa dini ya mtu, kasema isipokua msabato na hajasema kwanini hataki msabato, sasa wewe umekuja kuandika mara wanaabudu masanamu wanaabudu wafu we unaona umetumia busara?Huo ndio ukweli wa mleta uzi
Polesiyo kosa lako una uzamani flan hivi
sasa unadhani heshima inakuja kwa kuzidi miaka! wangapi ni wakubwa na hawaheshimiwi, acha waone, kupendana na umri ni vitu tofauti.
nimekulia shamba pia ila naji evolve, maana hata uko shamba sku hizi hawana idea kama zako
pole wewe mzeePole
Sio vizuri kuchagua.Mario nao tuna haki ya kupendwaKuajiriwa ni kutafuta pia.
Sio anakuja marioo
Salama wakuu wa love connect.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.
Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.
Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.
Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.
Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
Mkuu inaonekana imekuuma haswaHuwataki wasabato maana hawatakuruhusu
UABUDU LISANAMU LA MARIA,
UNYWE POMBE
UFANYE IBADA ZA WAFU
Unataka hao wanaume mtakaokuwa mnaenda disko na kupigia magoti masanamu na kusali rozali, na kwenda makaburini kuombea wafu .
AISEE BORA UTAFUTE WANAUME WAABUDU MASANAMU WENZIO
Hii ndio sababu kubwa huwataki wasabato,
Umri wa mtoto tafadhali.Yaani kwakuwa tu muda umeenda basi niolewe na niliyemzidi umri
hapana
bado nachagua wa kunipa furaha bila majuto.
Kwakweli ninabaki nayo papuchi yangu.
Tatizo la utoto ndilo hilo kushupalia jambo moja. Mwenyewe kakueleza kuwa hapendi umarioo na kubemenda wewe umekazana na kutafuta free p. Kwanini uhangaike na waliokuzidi umri wakati ulowazidi wanahangaika? Unadhani kuoa ni papuchi tu? Hivi unajua kwanini waliooa ndio wachepukaji wakubwa? Unajua kunajua kuna kuambiwa njoo nikupe k nijilalie etc. Ukiwa dogo kubali kuitwa dogo kama ulivyoniita mshamba nikakubalipole wewe mzee
.dunia inaenda mbele wewe bado unawaza ki miaka ya 70
ame mpita two yrs unasema ni marioo!! hahahaa
unaendelea kunishangaza mkuu.