Natafuta mume tuoane

Hujui lolote wewe

Wewe utakuwa mfuasi wa manabii wa hapa tz mnaouziwa chumvi, maji na leso kwa 10000
 
Twende kwa hoja acha kutoa povu bila points.

Wasabato ndiyo waliomsulubisha Yesu, wasabato wanapinga uwepo wa Roho mtakatifu, wasabato wanapinga wokovu upatikanao kwa njia ya imani . kwahiyo mkuu huyu Dada anawapinga kwasababu ninyi ni wapinga kristo na huyo mama yenu anayawajaza ujinga Helen white
 
Hujui lolote wewe

Wewe utakuwa mfuasi wa manabii wa hapa tz mnaouziwa chumvi, maji na leso kwa 10000
Halafu unaonekana usabato mwenyewe huujui maskini , umekaririshwa tu ndiyo maana unakurupuka kuvamia thread za wenzio ambazo hazihusiani unachotolea povu.
 
Inaonekana....

Haya wewe unayeujua una nn zaidi ya kuabudu sanamu la isis mungu wa wamisri?

Inaonekana wewe ni muabudu sanamu mzuri sana
 
Ndiyo hicho unachokijua tu huna kingine? Pole sana . acha kudandia vitu usivyovijua wewe nenda kasome mawazo ya huyo mpotoshaji mkuu Helen white uzidi kupotea achana na ukristo maana umekushinda
 
Hivi

KUABUDU MASANAMU

KUFANYA IBADA ZA WAFU

KUUZA MAJI

KUUZA CHUMVI ETI NI UPAKO

USHOGA MAKANISANI MWENU

KUCHEZA MAYENU KWENYE IBADA ZENU

ndio ukristo?

Acha nifurahi aiseee
 
Hivi

KUABUDU MASANAMU

KUFANYA IBADA ZA WAFU

KUUZA MAJI

KUUZA CHUMVI ETI NI UPAKO

USHOGA MAKANISANI MWENU

KUCHEZA MAYENU KWENYE IBADA ZENU

ndio ukristo?

Acha nifurahi aiseee
Nikwambie hujui unachoongea bora ukae kimya maana ukizidi kupost unazidi kuufunua upumbavu wako.

Usihusishe hayo unayoyataja na ukristo, mlete mada haja taja madhebu yake so huna sababu ya kumrukia ...emu kaa kimya angalau ufiche upumbavu wako
 
huyo hapo
 
Usimuhusishe mleta uz na ujinga wako, mleta uz nimemjibu ww, ukadandia mbele,

Sasa nakufunda adabu,

Au unadhan kujipendekeza kwa huyo mleta uzi ndio atakuchukua uwe mario?
 
Mimi nina elimu ya chuo hapa madrasa mtambani vp ntakufaa??
 
Ni pm tu ili tuongee kwa kina
 
Usimuhusishe mleta uz na ujinga wako, mleta uz nimemjibu ww, ukadandia mbele,

Sasa nakufunda adabu,

Au unadhan kujipendekeza kwa huyo mleta uzi ndio atakuchukua uwe mario?
Wewe ni mmoja kati watu wenye upeo mdogo wa mambo kibaya zaidi unadhani unajua kila kitu kumbe unajichoresha tu, ukiandika utumbo hatuta kunyamazia bila kujali unamnukuu nani. Kwanza Leo ni sabato unafuata nini mtandaoni ? Nenda kasome lesson huko
 
Leta andiko nisiingie mtandaoni

Ndio tabu ya kukurupuka ,tatizo akili zenu zimeshikwa na manabii wa dar wanaowauzia maji na chumvi kwa laki 1,

Wewe jipendekeze kwa mtoa uzi ila hataki ma mario
 
Looking for spouse online ni kutafuta majanga,tafuta huko huko mtaani,huku chenga nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…