Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Hujui lolote weweMkuu imani ya mtu si jambo la kuchezea,kwani kosa lake nini? Amesema asiwe msabato , wewe unawashwa na nini mpaka kumshambulia hivyo? Awe anaabudu sanam au haabudu hilo wewe halikuhusu kbsa pamoja na yote hayo bado hataki msabato...tukianza kuuchambua usabato hata wewe hutakuwa huna sifa za kuwa msabato maana unaivunja kila Leo.
Wewe utakuwa mfuasi wa manabii wa hapa tz mnaouziwa chumvi, maji na leso kwa 10000