Natafuta mume tuoane

Natafuta mume tuoane

Wanawake wenye watoto hawafai kuwaoa,akili zao zote ziko kwa watoto wake na hasa kama mume wake alikufa mawazo yake yote yako kwa mume wake wa zamani.Hata mapenzi ni ya shida sana sana atakupa papuchi tuu,mahaba hatoi na hata hiyo papuchi analalamika anachoka,mara anaumia ,mara unamfuja,hawana maana.
Ha ha ha

basi watu wasingezaa kwenye ndoa zao.

sasa wewe unataka watoto wasipendwe upendwe wewe tu??


akili nyingine bwana mnazijua wenyewe.
 
Hi baby nilikuapproach bado nakupenda kama unaona nameet your dream ni pm tafadhali

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
 
Jamani watu wa no A, mnavyoona kuna no nyingi mbele yako muwe mnapunguza hivyo vigezo jamani.
Maana kwa sasa kuna no ambazo ni latest na zipo kwenye soko hasa hii no D.
Mtu anaweza kuwa na nia thabiti ya kuoa, akawa anajiweza kiuchumi na ni muadilifu.
Hiki kigezo cha elimu kuanzia chuo kikuu kwenye suala la ndoa ndio sijaelewa. Hivi mkioana wasomi tupu wa kiwango hicho ndo hamuwezi achana eeh.
Kumbukeni kw sasa no imefika D n karibu itafika E.
Kalagabhahoooo....

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
May God grant you heart desire. Maombi ya Novena hasa st Ritha na yahusike. God bless you.
 
Nimedhamiria kuoa naomba ufikirie mwanamke huwa simdogo kwa mwanaume nipe nafasi

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
 
miaka 37 bado unachagua mwanaume doh
kwa age yako mama ulitakiwa kusema unatafuta mume tu labda ungeenda mbali zaidi mwenye mapenz ya kweli na mipango positive ya maisha

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Salama wakuu wa love connect.

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.

Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.

Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.

Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.

Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
Daby saizi yako hii hapa
Cc Inna
 
Am muslim but unmarried, fortunately 37 yrs da Sem 2 u. Dis isn't ma lac

Sent from my HUAWEI SCL-U31 using JamiiForums mobile app
 
Am 40years old standby for ur idea a dental sugon

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Weeee? Daby ana 20?
Umejuaje.. Daby na Aspirn wamepishana miezi miwili.
Au prove me wrong
Au wakati anatembea na kasie wa rika lake wewe ulikuwa mererani???!
[emoji23] [emoji23] me kaniambia eti ana miaka ishirini ata ukisoma profile lake ndo kaandika hvo!
Sasa ni prove nn wakat me sijui chochote.........kwaiyo Daby ni mzee kama babu Aspirin?
 
[emoji23] [emoji23] me kaniambia eti ana miaka ishirini ata ukisoma profile lake ndo kaandika hvo!
Sasa ni prove nn wakat me sijui chochote.........kwaiyo daby ni mzee kama babu aspirin?
Jirani mungu anakuona wewe na mmeo mtakatifu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] Umekuja jirani si huyu mtakatifu anakusema
nimekuuliza wakati akiwa na kasie wewe ulikuwa wapi, wakati kasie ni dada yangu mkubwa na nampenda sanaaa kuliko maelezo ila huyu jamaa akapita, na anakudanganya umri ili ujue ni mwenzako anajifanya kukuita jirani
 
miaka 37 bado unachagua mwanaume doh
kwa age yako mama ulitakiwa kusema unatafuta mume tu labda ungeenda mbali zaidi mwenye mapenz ya kweli na mipango positive ya maisha

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ikiwa umri umeenda ndio uzoezoe tu??

Walaaa....nachagua hata nikifika 50.

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom