Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
- Thread starter
- #321
Unafikiri nitakuja kwakuwa ulishaanza kunipenda.nilishaanza kukupenda tatizo mi msabato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri nitakuja kwakuwa ulishaanza kunipenda.nilishaanza kukupenda tatizo mi msabato
Ha ha haWanawake wenye watoto hawafai kuwaoa,akili zao zote ziko kwa watoto wake na hasa kama mume wake alikufa mawazo yake yote yako kwa mume wake wa zamani.Hata mapenzi ni ya shida sana sana atakupa papuchi tuu,mahaba hatoi na hata hiyo papuchi analalamika anachoka,mara anaumia ,mara unamfuja,hawana maana.
Amina!!!!May God grant you heart desire. Maombi ya Novena hasa st Ritha na yahusike. God bless you.
Daby saizi yako hii hapaSalama wakuu wa love connect.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.
Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.
Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.
Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.
Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
Daby ndo kwanza ana 20 hilo gap apo vipiiiii...au unataka sema daby anatembea na dada zake?
Weeee? Daby ana 20?Daby ndo kwanza ana 20 hilo gap apo vipiiiii...au unataka sema daby anatembea na dada zake?
[emoji23] [emoji23] me kaniambia eti ana miaka ishirini ata ukisoma profile lake ndo kaandika hvo!Weeee? Daby ana 20?
Umejuaje.. Daby na Aspirn wamepishana miezi miwili.
Au prove me wrong
Au wakati anatembea na kasie wa rika lake wewe ulikuwa mererani???!
Jirani mungu anakuona wewe na mmeo mtakatifu.[emoji23] [emoji23] me kaniambia eti ana miaka ishirini ata ukisoma profile lake ndo kaandika hvo!
Sasa ni prove nn wakat me sijui chochote.........kwaiyo daby ni mzee kama babu aspirin?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] Umekuja jirani si huyu mtakatifu anakusemaJirani mungu anakuona wewe na mmeo mtakatifu.
nimekuuliza wakati akiwa na kasie wewe ulikuwa wapi, wakati kasie ni dada yangu mkubwa na nampenda sanaaa kuliko maelezo ila huyu jamaa akapita, na anakudanganya umri ili ujue ni mwenzako anajifanya kukuita jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] Umekuja jirani si huyu mtakatifu anakusema
Kwahiyo ikiwa umri umeenda ndio uzoezoe tu??miaka 37 bado unachagua mwanaume doh
kwa age yako mama ulitakiwa kusema unatafuta mume tu labda ungeenda mbali zaidi mwenye mapenz ya kweli na mipango positive ya maisha
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Hivi hujambo lakini??