Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:nono:hivi kumbe ulikuwa hujui eeh.....
ata wewe si unamalengo ndo mana unataka matured then unasema unataka wa angalau angalau 28 mbona huyo tayari alstahili kuwa mama kabisa mwanamke anajtambua since she z 12yr anapofika 18 ndo maana ruksa kuolewaYaani una miaka 25 unataka 35 to 45 years.. Hiyo age disparity mbona ni kubwa sana..lakini utakuwa na malengo yako..all the best.. Mimi nina 35 ila nataka wa angalao 28 ndio wanakuwa wa--memature kidogo..
Mimi ni binti wa miaka 25,mkristo wa katoliki,elim yangu ni chuo na nimeajiriwa.Natafuta mwanaume wa kufunga nae ndoa,awe mkatoliki na ameajiriwa.Awe na umri wa kuanzia miaka 35-45 na awe na upendo wa dhati.plz nahitaji walio na shida na nia kama yangu,km haikuhusu,tafadhal naomba upite tu.Kwa alie serious naomba anitafute kwa sukulam@yahoo.com or aniPM.
Sory sina nia mbaya ila kama hao woote from primary,secondary scul,chuo n n0w kazin hukupata anaekufaa dadangu then trust me hawa usiowajua hutapata pia.
ata wewe si unamalengo ndo mana unataka matured then unasema unataka wa angalau angalau 28 mbona huyo tayari alstahili kuwa mama kabisa mwanamke anajtambua since she z 12yr anapofika 18 ndo maana ruksa kuolewa
Mbona PM yangu hujibu Sukula?Mimi ni binti wa miaka 25,mkristo wa katoliki,elim yangu ni chuo na nimeajiriwa.Natafuta mwanaume wa kufunga nae ndoa,awe mkatoliki na ameajiriwa.Awe na umri wa kuanzia miaka 35-45 na awe na upendo wa dhati.plz nahitaji walio na shida na nia kama yangu,km haikuhusu,tafadhal naomba upite tu.Kwa alie serious naomba anitafute kwa sukulam@yahoo.com or aniPM.
I see mi nilijua wewe ni demu nilipo ona hiyo avatar huo mpododo dah mi hoi (samahani lakini kama nimekukwaza)weka namba ya simu niku PM, natumai ninaqualify kwa vigezo vyote
Mimi ni binti wa miaka 25,mkristo wa katoliki,elim yangu ni chuo na nimeajiriwa.Natafuta mwanaume wa kufunga nae ndoa,awe mkatoliki na ameajiriwa.Awe na umri wa kuanzia miaka 35-45 na awe na upendo wa dhati.plz nahitaji walio na shida na nia kama yangu,km haikuhusu,tafadhal naomba upite tu.Kwa alie serious naomba anitafute kwa sukulam@yahoo.com or aniPM.
inawezekana alikuwa nae tena hata ada akalipa, si unajua wakifika chuo wanajifanya kutafuta wasomi wenzao, sasa ile semester ya mwisho ndo vibut hutembea,na inawezekana kakuta aliyemtosa tayar ana mke na mtoto na hana kazi. Maisha yamembana hata kipesa cha pedi hana. Nb. Kuingia chuo sio kuwin maisha, maisha yako kitaa. Usitupe kanga et kwa sabab umepata chupi..... Special kwa wanachuo wote