Natafuta mume wa kufunga nae ndoa.

Natafuta mume wa kufunga nae ndoa.

me na vigezo tatzi Umri jamani!!! nina 28 but am single boy na nahitaji kama utakavyo wewe!!!
 
Sory sina nia mbaya ila kama hao woote from primary,secondary scul,chuo n n0w kazin hukupata anaekufaa dadangu then trust me hawa usiowajua hutapata pia.
 
Yaani una miaka 25 unataka 35 to 45 years.. Hiyo age disparity mbona ni kubwa sana..lakini utakuwa na malengo yako..all the best.. Mimi nina 35 ila nataka wa angalao 28 ndio wanakuwa wa--memature kidogo..
 
ata wewe si unamalengo ndo mana unataka matured then unasema unataka wa angalau angalau 28 mbona huyo tayari alstahili kuwa mama kabisa mwanamke anajtambua since she z 12yr anapofika 18 ndo maana ruksa kuolewa
 
Mimi ni binti wa miaka 25,mkristo wa katoliki,elim yangu ni chuo na nimeajiriwa.Natafuta mwanaume wa kufunga nae ndoa,awe mkatoliki na ameajiriwa.Awe na umri wa kuanzia miaka 35-45 na awe na upendo wa dhati.plz nahitaji walio na shida na nia kama yangu,km haikuhusu,tafadhal naomba upite tu.Kwa alie serious naomba anitafute kwa sukulam@yahoo.com or aniPM.

Usikaribishe mashaka kwenye maisha yako dada kwa desperation ya kuolewa. Nakuhakikishia unatafuta majuto ambayo utayajutia kwa muda mrefu wa maisha yako. Muombe Mungu wako akupatie mume na sio kumuomba mwanaume awe mume, wanaume hatutongozwi na hatukatai wito kama huo. Najua kwa sasa unajidanganya kuwa utamchunguza kwanza, SAHAU. Ni ngumu mno kumchunguza mtu aliyejiandaa kuchunguzwa.

Na juu ya nini ukaolewe na mwanaume wa miaka 45? Ikiwa umekata tamaa ya kuolewa ni PM, naamini kuna jambo ukilisikia toka kwangu mtazamo wako wa maisha utachukua sura mpya
 
Sory sina nia mbaya ila kama hao woote from primary,secondary scul,chuo n n0w kazin hukupata anaekufaa dadangu then trust me hawa usiowajua hutapata pia.

inawezekana alikuwa nae tena hata ada akalipa, si unajua wakifika chuo wanajifanya kutafuta wasomi wenzao, sasa ile semester ya mwisho ndo vibut hutembea,na inawezekana kakuta aliyemtosa tayar ana mke na mtoto na hana kazi. Maisha yamembana hata kipesa cha pedi hana. Nb. Kuingia chuo sio kuwin maisha, maisha yako kitaa. Usitupe kanga et kwa sabab umepata chupi..... Special kwa wanachuo wote
 
Sio kwamba anadhani ndo wametulia, anadhani kuwa ndio wanao jua kulea,kama kuna mtu ana miaka kuanzia 40 - 45 na anashida ajue akimpata huyo ndo anaongeza shida maana kuna vinjemba nje ya ndoa kazi zao ni kuwasaidi wale wasio wakizi wake zao. kazi kwelikweli!!!!!!!!!
 
ata wewe si unamalengo ndo mana unataka matured then unasema unataka wa angalau angalau 28 mbona huyo tayari alstahili kuwa mama kabisa mwanamke anajtambua since she z 12yr anapofika 18 ndo maana ruksa kuolewa

sio matured sema ndio wapiga kazi wazuri!
 
weka namba ya simu niku PM, natumai ninaqualify kwa vigezo vyote
 
Mimi ni binti wa miaka 25,mkristo wa katoliki,elim yangu ni chuo na nimeajiriwa.Natafuta mwanaume wa kufunga nae ndoa,awe mkatoliki na ameajiriwa.Awe na umri wa kuanzia miaka 35-45 na awe na upendo wa dhati.plz nahitaji walio na shida na nia kama yangu,km haikuhusu,tafadhal naomba upite tu.Kwa alie serious naomba anitafute kwa sukulam@yahoo.com or aniPM.
Mbona PM yangu hujibu Sukula?
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni binti wa miaka 25,mkristo wa katoliki,elim yangu ni chuo na nimeajiriwa.Natafuta mwanaume wa kufunga nae ndoa,awe mkatoliki na ameajiriwa.Awe na umri wa kuanzia miaka 35-45 na awe na upendo wa dhati.plz nahitaji walio na shida na nia kama yangu,km haikuhusu,tafadhal naomba upite tu.Kwa alie serious naomba anitafute kwa sukulam@yahoo.com or aniPM.

[h=1]“Don't go for the looks, it can be quite deceiving. Don't go for wealth, even that fades away -- go for someone who makes you smile because only a smile makes a dark day seem bright. Hope you find that person.”
[/h]
 
inawezekana alikuwa nae tena hata ada akalipa, si unajua wakifika chuo wanajifanya kutafuta wasomi wenzao, sasa ile semester ya mwisho ndo vibut hutembea,na inawezekana kakuta aliyemtosa tayar ana mke na mtoto na hana kazi. Maisha yamembana hata kipesa cha pedi hana. Nb. Kuingia chuo sio kuwin maisha, maisha yako kitaa. Usitupe kanga et kwa sabab umepata chupi..... Special kwa wanachuo wote

Sory Bro are u talking from experience or? juc asking, No hard feelings...lol
Ila kiukweli hawa dada zetu ndo walivyo in most cases
 
We dada mbona unatafuta wazee au unataka kumkil uchukue mali. Maana vijana hawafi haraka mnakimbilia wazee!
 
Back
Top Bottom