Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo


Njoo PM mimi hapa!
 
ila hautaishi bure hapa kwangu .wala usitegemee kunidanganya kama wewe ni muongo nitakujua tu .kama huna mapenzi ya dhati unapenda mteremko bora usinitafute maana hapa sio mahali pake

Wanaume tunapenda kuona kwanza kwa macho nafsi ikaridhika ndio mambo mengine yakafuata!
 
nimempata ex wangu humuhumu nimeona nirudiane nae nimemuomba msamaha maana mimi ndo nilimuacha
Asante kwa mrejesho mpendwa,kila la kheri.
Mfunge na ndoa kabisa tuje kuserebuka [emoji23]
 
Hakuna jambo ngumu katika maisha kama kukosea kuoa ama kuolewa, kama ni jambo unalopaswa kumuomba mungu kwa nguvu kubwa basi ni suala la kupata mme /mke.
 
tatizo haujibu pm hahaaa
 
Mm nipo tayari DINI yangu Islam ni MTU nzima zaidi ya 50 nitafute online tumalize mambo. Baba mtarajiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…