Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,752
- 1,311
- Thread starter
- #81
Kuna shida?Bikira wa kwanza anatangaza kutafuta mume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna shida?Bikira wa kwanza anatangaza kutafuta mume
Unachujaje watu ambao ni anonymous mkuu? Utawezaje kujua huyu ni sahihi na huyu sie? Atleast sehemu yakazi unamuona na kuwa nae kila siku walau utapata mwanga huyu ni mtu wa aina gani.Nitamsaidia kujibu hili swali.
Kutongozwa sio kuolewa. Binti anaweza kutongozwa na wanaume zaidi ya mia moja katika maisha yake lakini bado asifikie kuolewa nao.
Jambo la kuoa na kuolewa ni fumbo kwa kila mtu. Huwezi kujua utamuoa au utaolewa na nani mpaka majira ya hilo jambo yafike. Na huwezi kujua majira hayo yatakukutia uko wapi. Dada yetu majira hayo yamemkutia pia humu JF. Sasa katika hilo tunapaswa kupongeza na sio kuhoji sana. Faida ya humu unaweza kuweka vigezo ili kuchuja wahitaji kitu ambacho hakiwezekani sana katika mazingira ya maisha ya kila siku chuoni, ofisini au mitaani.
Let be positive in our minds.
Hakika hata mitume na manabii wametukanwa lakini hawakubadilisha misimamo yao wala kukata tamaa. Nakuomba usimame na kauli na uamuzi wako usihofie matusi ya mpita njia. Kubadilisha uzi wako itakufanya usiwe huru kama matusi yatakuyumbisha leo kwenye hisia zako, basi yanaweza kuharibu hata mfumo wa maisha ya furaha yako. Rejesha uzi wako na waoneshe wenye matusi kuwa upo bora zaidi yao.Nimeona kejeli na matusi vimetawala, ahsanteni na nisamehe we, labda hii hairuhusiwi Jf.
JamiiForums naomba hii post ifutwe.
Nasubiri bandiko lako mkuuMmh utakuwa mzuri hatari. Kila la kheir....
Nasubiri bandiko lako mkuu
Kwenye sifa zake kuna mahali ametaja chura kuwepo?Me ni ke...siwezi mtamani ke mwenzangu. Nimependa sifa zake za kinyarwanda...[emoji23]
Pole sana madam hii ndio Jf, kuna wapumb.avu wa kila aina japo wenye busara wapo pia...madam mtu yeye alianza kugegedwa ana miaka 12 au mkaka miaka yote ye hajawahi kukutana na bikra kwa hiyo wakisikia mtu wa umri wako bado bikra roho zinawatoka hatari na usishangae pamoja na kebehi zote hizi watakuja kukujalia PM na wengine ni hawahawa wanaokukejeli na kukutukana hapa watakuja bila hata soni au kwa kutumia I'd nyingine. Ushauri wangu fanya kama unafunga jalada la kutafuta mchumba Jf maana mashaka yangu hapa watakuja wale wa kukuumiza tu uyachukie mapenzi pamoja na kujitunza hadi umri huo.@Okoyoyo kwanini kunitusi?
Kama post haikuhusu si unaacha tu?
Najuta kuanzisha Uzi huu, machozi yananitoka tu hapa, anyway, ngoja niombe ifutwe, Mungu atanilipia
Kuna shida?
Kwenye sifa zake kuna mahali ametaja chura kuwepo?
Huyo binti ameanza humu kwa kutumia utaratibu wa anonymous, katikati ya hao anonymous huenda yupo mtu sahihi kwake(Hakuna ajuaye). Hii kwa binti ni starting point, inampa uhuru binti na pia inampa uhuru mvulana mwenye nia na uhitaji huo. Na sote tunajua wazi kabisa, mahusiano yanaweza kuanzia kwenye angle yoyote, huwezi kujua na huwezi kulazimisha wapi yaanzie. Penye nia pana njia, kikubwa ameonyesha nia(kama ni kweli hicho alichokiandika) basi njia itapatikana tu, tena kuna uwezekano wa zaidi ya 80% kwake kufanikiwa katika hili vizuri ikiwa atazichanga karata zake vizuri. Muda utatupa majibu.Unachujaje watu ambao ni anonymous mkuu? Utawezaje kujua huyu ni sahihi na huyu sie? Atleast sehemu yakazi unamuona na kuwa nae kila siku walau utapata mwanga huyu ni mtu wa aina gani.
Anyway kila la kheri dada
Nimeng'amua hili Dada na siendelei na hili, nitasubiri Majaliwa yangu tu kwa namna nyingine.Pole sana madam hii ndio Jf, kuna wapumb.avu wa kila aina japo wenye busara wapo pia...madam mtu yeye alianza kugegedwa ana miaka 12 au mkaka miaka yote ye hajawahi kukutana na bikra kwa hiyo wakisikia mtu wa umri wako bado bikra roho zinawatoka hatari na usishangae pamoja na kebehi zote hizi watakuja kukujalia PM na wengine ni hawahawa wanaokukejeli na kukutukana hapa watakuja bila hata soni au kwa kutumia I'd nyingine. Ushauri wangu fanya kama unafunga jalada la kutafuta mchumba Jf maana mashaka yangu hapa watakuja wale wa kukuumiza tu uyachukie mapenzi pamoja na kujitunza hadi umri huo.
Nimeng'amua hili Dada na siendelei na hili, nitasubiri Majaliwa yangu tu kwa namna nyingine.
Hawa Watusi Ndio wa kwanza kuja huko pm, eti niwatumie Picha nikiwa pozi gani sijui, mwisho inaweza kudhalilishwa mtandaoni
Ahsante kujali
kabisa, kwanza ngoja tu nifunge PMAchana nao ukiona jitu linakusumbua lisindikize na block
Mary huku hakuna wanaume.Kakabisa, kwanza ngoja tu nifunge PM