Natafuta mume wa kuishi nae

Natafuta mume wa kuishi nae

Status
Not open for further replies.
Nitamsaidia kujibu hili swali.

Kutongozwa sio kuolewa. Binti anaweza kutongozwa na wanaume zaidi ya mia moja katika maisha yake lakini bado asifikie kuolewa nao.

Jambo la kuoa na kuolewa ni fumbo kwa kila mtu. Huwezi kujua utamuoa au utaolewa na nani mpaka majira ya hilo jambo yafike. Na huwezi kujua majira hayo yatakukutia uko wapi. Dada yetu majira hayo yamemkutia pia humu JF. Sasa katika hilo tunapaswa kupongeza na sio kuhoji sana. Faida ya humu unaweza kuweka vigezo ili kuchuja wahitaji kitu ambacho hakiwezekani sana katika mazingira ya maisha ya kila siku chuoni, ofisini au mitaani.

Let be positive in our minds.
Unachujaje watu ambao ni anonymous mkuu? Utawezaje kujua huyu ni sahihi na huyu sie? Atleast sehemu yakazi unamuona na kuwa nae kila siku walau utapata mwanga huyu ni mtu wa aina gani.

Anyway kila la kheri dada
 
Nimeona kejeli na matusi vimetawala, ahsanteni na nisamehe we, labda hii hairuhusiwi Jf.
JamiiForums naomba hii post ifutwe.
Hakika hata mitume na manabii wametukanwa lakini hawakubadilisha misimamo yao wala kukata tamaa. Nakuomba usimame na kauli na uamuzi wako usihofie matusi ya mpita njia. Kubadilisha uzi wako itakufanya usiwe huru kama matusi yatakuyumbisha leo kwenye hisia zako, basi yanaweza kuharibu hata mfumo wa maisha ya furaha yako. Rejesha uzi wako na waoneshe wenye matusi kuwa upo bora zaidi yao.
 
@Okoyoyo kwanini kunitusi?
Kama post haikuhusu si unaacha tu?
Najuta kuanzisha Uzi huu, machozi yananitoka tu hapa, anyway, ngoja niombe ifutwe, Mungu atanilipia
Pole sana madam hii ndio Jf, kuna wapumb.avu wa kila aina japo wenye busara wapo pia...madam mtu yeye alianza kugegedwa ana miaka 12 au mkaka miaka yote ye hajawahi kukutana na bikra kwa hiyo wakisikia mtu wa umri wako bado bikra roho zinawatoka hatari na usishangae pamoja na kebehi zote hizi watakuja kukujalia PM na wengine ni hawahawa wanaokukejeli na kukutukana hapa watakuja bila hata soni au kwa kutumia I'd nyingine. Ushauri wangu fanya kama unafunga jalada la kutafuta mchumba Jf maana mashaka yangu hapa watakuja wale wa kukuumiza tu uyachukie mapenzi pamoja na kujitunza hadi umri huo.
 
Unachujaje watu ambao ni anonymous mkuu? Utawezaje kujua huyu ni sahihi na huyu sie? Atleast sehemu yakazi unamuona na kuwa nae kila siku walau utapata mwanga huyu ni mtu wa aina gani.

Anyway kila la kheri dada
Huyo binti ameanza humu kwa kutumia utaratibu wa anonymous, katikati ya hao anonymous huenda yupo mtu sahihi kwake(Hakuna ajuaye). Hii kwa binti ni starting point, inampa uhuru binti na pia inampa uhuru mvulana mwenye nia na uhitaji huo. Na sote tunajua wazi kabisa, mahusiano yanaweza kuanzia kwenye angle yoyote, huwezi kujua na huwezi kulazimisha wapi yaanzie. Penye nia pana njia, kikubwa ameonyesha nia(kama ni kweli hicho alichokiandika) basi njia itapatikana tu, tena kuna uwezekano wa zaidi ya 80% kwake kufanikiwa katika hili vizuri ikiwa atazichanga karata zake vizuri. Muda utatupa majibu.
 
Pole sana madam hii ndio Jf, kuna wapumb.avu wa kila aina japo wenye busara wapo pia...madam mtu yeye alianza kugegedwa ana miaka 12 au mkaka miaka yote ye hajawahi kukutana na bikra kwa hiyo wakisikia mtu wa umri wako bado bikra roho zinawatoka hatari na usishangae pamoja na kebehi zote hizi watakuja kukujalia PM na wengine ni hawahawa wanaokukejeli na kukutukana hapa watakuja bila hata soni au kwa kutumia I'd nyingine. Ushauri wangu fanya kama unafunga jalada la kutafuta mchumba Jf maana mashaka yangu hapa watakuja wale wa kukuumiza tu uyachukie mapenzi pamoja na kujitunza hadi umri huo.
Nimeng'amua hili Dada na siendelei na hili, nitasubiri Majaliwa yangu tu kwa namna nyingine.
Hawa Watusi Ndio wa kwanza kuja huko pm, eti niwatumie Picha nikiwa pozi gani sijui, mwisho inaweza kudhalilishwa mtandaoni
Ahsante kujali
 
Achana nao ukiona jitu linakusumbua lisindikize na block
Nimeng'amua hili Dada na siendelei na hili, nitasubiri Majaliwa yangu tu kwa namna nyingine.
Hawa Watusi Ndio wa kwanza kuja huko pm, eti niwatumie Picha nikiwa pozi gani sijui, mwisho inaweza kudhalilishwa mtandaoni
Ahsante kujali
 
Marry njoo inbox,napenda sura za kinyarwanda,njoo plz plz
 
Kakabisa, kwanza ngoja tu nifunge PM
Mary huku hakuna wanaume.
Niulize mimi nkwambie
Na mbinu nzuri ambayo binti bado bkr anatakiwa aitumie wakat wa kutafuta mume ni kutomwambia ukweli kwamba ww ni bikra.. Msurprise tu
Mwanaume ukimwambia ww ni bikra atafanya juu chini aje kwako.. Atafuata bkr syo wewe!
Atakupendea bikra ikisatoka whats next?
Kuna sie ambao sio bikra tunapendwa kwa dati na tunaolewa.. Jifanye kama siai utapata wa kukupenda wewe kana wewe.. Na atakua anamfata mary na sio that precious thing down there.itakua surprise yake
Wewe ukimpata mwambie tu hauko tayari kulala nae.. Akikubali na kukhposa katoe sadaka ya shukrani wanaume wa hivyo adimu
Wenyewe wanadai hawataki kuuziwa mbuz ndani ya gunia.
Una kazi ngumu kumpata.. Ila kila la heri
 
Binafsi nakupongeza kwa kujitunza, karne hii ni ngumu sana kupata vijana wanaoweza kufanya ulichofanya. Simamia kwenye mstari huo huo hadi ufikie malengo yako, lazima utampata uliyeandaliwa.

Sisi wengine tulishajiharibu zamani ndio maana labda tunaona wivu na kuhisi vibaya.

Don't listen to anyone who's trying to pull you down, don't go down with them.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom