achiiachii
Member
- Sep 11, 2022
- 50
- 196
Habari, kama mnavyojua ili familia iitwe familia lazima ikamilike yaani baba na mama na watoto
Mimi ni mama wa miaka 29, elimu degree, nimeajiriwa na pia nimejiajiri, nina mtoto moja wa kiume. Natafuta mume wa kuwa naye kwenye maisha yangu yote, yaani mwanaume anayependa familia. Akiwa na mtoto au watoto itakuwa vizuri zaidi.
Mke wa pili nakubali ila nitaangalia na mazingira ya familia yake ya kwanza.
NB: Najua watu wabaya wapo mitandaoni hata mitaani wabaya wapo pia, nipo serious sitaki blaa blaa.
Aliyekuwa serious anakaribishwa.