Natafuta mume wa kujenga naye familia

Natafuta mume wa kujenga naye familia

Kupata mume si tatizo, tatizo ni kutunza mme.
Maana mkishampata mume hana thamani tena, kiburi, jeuri, matusi, then Mume anakimbia
Na hawa wenye videgree ndio huwa balaa...tena akakukuta hauna kipato mama yangu...utadeki hata nyumba huku kakusimamia anatoa maelekezo
 
Habari, kama mnavyojua ili familia iitwe familia lazima ikamilike yaani baba na mama na watoto

Mimi ni mama wa miaka 29, elimu degree, nimeajiriwa na pia nimejiajiri, nina mtoto moja wa kiume. Natafuta mume wa kuwa naye kwenye maisha yangu yote, yaani mwanaume anayependa familia. Akiwa na mtoto au watoto itakuwa vizuri zaidi.

Mke wa pili nakubali ila nitaangalia na mazingira ya familia yake ya kwanza.

NB: Najua watu wabaya wapo mitandaoni hata mitaani wabaya wapo pia, nipo serious sitaki blaa blaa.

Aliyekuwa serious anakaribishwa.
Mwandiko wa kiume huu
 
Njoo inbox mamaa
 
Na hawa wenye videgree ndio huwa balaa...tena akakukuta hauna kipato mama yangu...utadeki hata nyumba huku kakusimamia anatoa maelekezo
hawa wakiwa kwenye ubora wao ndo wanawambia wanaume "nasema unikome,,,kwanza your not my type"🤣 sasa wakichungulia odomita zimeenda na unakuta kaishazalishwa uko (ila apa anaficha) ndo wanajiliza km ivi kutaka mume yyote kikubwa awe anapumua tu
 
Back
Top Bottom