Natafuta mume wa kujenga naye familia

Natafuta mume wa kujenga naye familia

Uko kazini kwenu hujapata mume? Huku mitandaoni Kuna mabalaa utakuja kulia
 
sina kazi vp utaweza kunilea.
giphy.gif
 
Habari, kama mnavyojua ili familia iitwe familia lazima ikamilike yaani baba na mama na watoto

Mimi ni mama wa miaka 29, elimu degree, nimeajiriwa na pia nimejiajiri, nina mtoto moja wa kiume. Natafuta mume wa kuwa naye kwenye maisha yangu yote, yaani mwanaume anayependa familia. Akiwa na mtoto au watoto itakuwa vizuri zaidi.

Mke wa pili nakubali ila nitaangalia na mazingira ya familia yake ya kwanza.

NB: Najua watu wabaya wapo mitandaoni hata mitaani wabaya wapo pia, nipo serious sitaki blaa blaa.

Aliyekuwa serious anakaribishwa.
Habari
 
Dah kumbe upo tayari hadi kuwa mke wa pili....kweli wee mwanamke unafaa kuwa mke. Njoo pm tuyajenge
 
Back
Top Bottom