Natafuta mume wa kunioa

mpaka kwenye mapenzi kuna matangazo jaman
 
Kichwa cha habari ilitakiwa iwe "natafuta mume wa kujitoa muhanga"

Maana nyie akina miss natafuta wa mitandaoni kuwaoa ni sawa na kujitoa muhanga.
 
Nipo mamaaa
 
Mungu akuongoze vyema dada angu
 

Umesoma nin mkuu samahani lakin!!!
 
Hii tabia ya wanaJF ya kuponda, na kukejeli post nyingine Kama ya mtoa mada sio nzuri kbsa. Kama tangazo halijakugusa au vigezo huna ni busara tu kupita kimya. wengi wanaofanya hivi ni wavulana(kula Kulala). Walio serious wanaenda PM Moja kwa Moja na sio kukejeli.
 
Tafuta kwanza kazi ili uweze angalau kununua chupi. Graduate kwenda kuwa tegemezi kama wale wasio na elimu si jambo jema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…