Natafuta mume wa kunioa

Natafuta mume wa kunioa

Mbona hujibu....Huyu Mtoto babake Yuko Wapi? Maana hapo ndipo Shida za Singo Maza Wengi huanziaga. Mara nyingi Mtoto huwa Chambo cha Kupasha Viporo....!
Yupo kaoa ana maisha yake
Hizo ni imani potofu mlizojiweka katik kudharau wanawake tu waliozaa hata ambao awajazaa mbona wanaendelea kupasha viporo na wapenz Wao wazamani
Mm Sio type hiyo ya kupashan viporo nimemove on na nilikosea kwenda tu siwez kukosea kurudi sawa ndugu

Na heri Mimi niliyezaa kuliko aliyetoa mimba hata tano watoto ni Baraka
 
Ni vigumu sana mwanamke kumkatalia mzazi mwenzie.
Aliyekwambia nani ACHA uongo na kuongea vitu ambavyo una uhakika navyo mwanamke anayeendelea kupasha viporo na huyo mzaz mwenzk Bado aja move on
Wanawake wangap wamezaa na wameolewa wametulia

Hata hao ambao awajazaa mbona wanapasha pia
Ni akili tu na hulka ya mtu
 
Mimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na maisha kwasababu nimepitia vingi na kujifunza mengi. Nahitaji mtu pia aliye serious katik kutafuta maisha na kujenga familia iliyo bora.

Sifa
Asiwe mlevi Wala mvuta sigara
Wenye hofu ya Mungu
Wenye upendo heshima na apende ndugu zake na wangu
Mpambanaji mpenda maendeleo na ushirikiano
Akiwa na mtoto au watoto sawa Mimi ni mama napenda watoto, watoto ni Baraka.
Wenye kusamehe muelewa pia

Nikimpata naahidi kumpenda na kumuheshimu kiufupi ata enjoy tutajenga familia iliyobora
Nimekupenda sana,
Unaweza kujenga hoja, kitu ambacho ni tunu sana kwa mwaname.
Umekuwa muwazi jambo ambalo ni aghalabu sana vijana wa siku hizi kufanya hivyo.

Pia uneshatangaza kuomba radhi kwa mwenza wako mtarajiwa, yaani akusamehe kuwa tayari ukishayaanza mambo ya ngono kabla hamjaonana. Hii ni akili njema kabisa.

Kuhusu tabia, nakushauri, usishangae proposal 100 za mwazo kuwa mitego. Omba sana Mungu akupatie wa kufanana nawe.

Kumbuka neno hili
USIKUBALI KILA UNALOAMBIWA, NA UKIELEZWA USIWE MGUMU
 
Yupo kaoa ana maisha yake
Hizo ni imani potofu mlizojiweka katik kudharau wanawake tu waliozaa hata ambao awajazaa mbona wanaendelea kupasha viporo na wapenz Wao wazamani
Mm Sio type hiyo ya kupashan viporo nimemove on na nilikosea kwenda tu siwez kukosea kurudi sawa ndugu

Na heri Mimi niliyezaa kuliko aliyetoa mimba hata tano watoto ni Baraka
Basi tulia endelea kulea mtoto wako upate baraka
Achana na hao wanaume
 
Mume nipo hapa ushanipata, haya futa uzi tukaanze vikao vya harusi.
Siku hizi umekuwa haemophrodite??
Shemale??
Unataka kumuingizia mwenzako mkuyenge au ni dildo??
 
Kuna wanawake wakiachana na mwanaume hata kama kazaa naye wanaacha moja kwa moja hawarudi nyuma.
Tatizo watu mnakakiriri.
 
Mimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na maisha kwasababu nimepitia vingi na kujifunza mengi. Nahitaji mtu pia aliye serious katik kutafuta maisha na kujenga familia iliyo bora.

Sifa
Asiwe mlevi Wala mvuta sigara
Wenye hofu ya Mungu
Wenye upendo heshima na apende ndugu zake na wangu
Mpambanaji mpenda maendeleo na ushirikiano
Akiwa na mtoto au watoto sawa Mimi ni mama napenda watoto, watoto ni Baraka.
Wenye kusamehe muelewa pia

Nikimpata naahidi kumpenda na kumuheshimu kiufupi ata enjoy tutajenga familia iliyobora
Weka hapa cheti chako cha matokeo ya kumaliza kidato cha nne
 
Back
Top Bottom