Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi.
Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao;
1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana.
2. Awe mkristo.
3. Elimu iwe degree moja na kuendelea.
4. Rangi yake awe maji ya kunde ya mweusi. Asiwe mweupe.
5. Ajue kutafuta pesa.