EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 3,781
- 12,091
Uzi ufungwe umemaliza kila kitu.Kila la heri Binti maana ukija kuvuka 30 ni shughuli pevu. Kwa miaka hii miwili jitunze. Punguza maringo, usomi usio na kichwa wala miguu, dharau, ufeminist na ego. Wekeza kwako ili uwe bora kabisa kwa kadri inavyowezekana kiroho, kimwili, kisaikolojia na hata kiuchumi.
Kila la heri [emoji1545][emoji1545][emoji1545]