Natafuta Mume wa kunioa

Changamkeni jaman
 
Wewe una pesa?
Maana siku hizi maisha magumu watu wanafichamia kwenye ndoa
 
Mwaga siri za kambi live watu wajiokotee...
Hakuna mbinu hata.
Yaani usiku huu nikipewa talaka na huyu mtu hapa..kesho saa sita mchana ni matarumbeta na vigelegele ndani ya church.
 
Mm ninavigezo vyote na nakutaka pia tena sana tufanye serous relationship plz.
 
Kabila gani were uwe mkwel na uje pm Kam uko serious mnk mm pia Ni .mkkkt mzuri tu na ningependa nioe mke wa kutoka kkkt

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Weye kajamaa kuumbe ni kadumeeee??.....unajifanya kuingia bweni la wanawake kuuumbe!!!........ sasa tunakutoa nyaa leo
 
0765804677..hizo sifa zote ninazo. Nichek
 
Hupati,Ng'o.Labda ukaolewe na binam zako kijijini.
 
Degree na kutafuta pesa Kuna husianaje

Nadhani ungetafuta huko huko uliosoma nao degree sisi waoaji hatuna degree

Kingine hata Kama Nina degree siwezi itumia kwa mtu asie na tako nimesoma kwa shida sana nahitaji mizigo ya maana sio tako lipo Kama booklet
 
Wewe unataka degree au pesa? Chagua
Huko kwenye ndoa utakula degree?
 
Bila picha pdf haisomi
 
Miaka 28, wakati adolescence imeisha unaweka masharti?
Nilijifunza kuwa urembo wa mwanamke unaanza wakati wa balehe( miaka 11 hadi 15) na unaishia kwenye adolescence ( miaka kati ya 19 na 23).
Kwahiyo, umri wa miaka kati ya 18 na 23, ndio umri wa kuweka masharti magumu ya uhusiano. Miaka 24 hadi 30 ni kipindi Cha masharti mepesi( hapa masharti ya elimu na rangi hayana msingi sana).
Miaka 31 hadi 35( ni muhimu masharti yakaondolewa kabisa). Miaka 36 na kuendelea hapa inakupasa kukubali lolote ikiwemo kutumia gharama zako kuendeshea familia( habari ya mwanamke inabidi apewe matunzo miaka hiyo itakuwa imepita, hapa yeyote anayepata fedha anachangia ili maisha yaendelee).
 
Labda umchonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…