Uzi ufungwe umemaliza kila kitu.Kila la heri Binti maana ukija kuvuka 30 ni shughuli pevu. Kwa miaka hii miwili jitunze. Punguza maringo, usomi usio na kichwa wala miguu, dharau, ufeminist na ego. Wekeza kwako ili uwe bora kabisa kwa kadri inavyowezekana kiroho, kimwili, kisaikolojia na hata kiuchumi.
Kila la heri [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Safi kabisa mkuu imekaa poa sana.Kila la heri Binti maana ukija kuvuka 30 ni shughuli pevu. Kwa miaka hii miwili jitunze. Punguza maringo, usomi usio na kichwa wala miguu, dharau, ufeminist na ego. Wekeza kwako ili uwe bora kabisa kwa kadri inavyowezekana kiroho, kimwili, kisaikolojia na hata kiuchumi.
Kila la heri [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Vigezo vyako vyote havina mashiko lakini Masharti yako na,2 na 3 huenda utakaa sana na umri umeshakwenda kwa mtoto wa kike.Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi. Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao.
1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana
2. Awe mkristo
3. Elimu iwe degree moja na kuendelea
4. Rangi yake awe maji ya kunde ya mweusi. Asiwe mweupe
5. Ajue kutafuta pesa
Nilijua tu, hili swali lazima liulizwe🤣🤣🤣Unatako..?tuanzie hapo
Nilijua tu,hili swali lazima liulizwe🤣🤣🤣Unatako..?tuanzie hapo
Hakuna fomyula kamanda. Walioko mtaani ndiyo hao hao wako hapa JF. Hata huko mtaani asipojitambua ataishia kumegwa tu na kuachwa - kitu ambacho naamini kimeshamchosha ndo maana kaamua kuja kucheza sandakarawe hapa 😁Hutapata mume hapa, utaishia kumegwa na kuachwa.
Waume wamezagaa zagaa kila mahaliMnakosaje waume jamani? Mbona simple?
Anyway..kila la kheri binti.
Hii kitu sijawahi elewa. Yaani mimi na uzee huu nikitaka kuolewa kesho mume nampata kesho hiyo hiyoWaume wamezagaa zagaa kila mahali
Nitafutiepo mmoja basiMnakosaje waume jamani? Mbona simple?
Anyway..kila la kheri binti.
Kesho???? Unakua unasubiri nini siku ipite.....ukiachwa saa mbili inatakiwa saa kumi tayari tunawasha ubani tunakula chai na kalmat kwenye mikeka.....Hii kitu sijawahi elewa. Yaani mimi na uzee huu nikitaka kuolewa kesho mume nampata kesho hiyo hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi najua kuitafuta pesa haswa, nishawahi poteza elfu mbili, wakati natoka kariakoo, nikatoka kuanzia mbagala kwa mguu naisaka elfu 2 yangu, nikaja kuipatia mtoni mtongani, niliangusha pale wakati nakula miwa [emoji23]
Siwatafutagi wanakuja tuNitafutiepo mmoja basi