Natafuta Mume wa kunioa

Sifa zote nnazo naamini ispokuwa hiyo ya dini. Utapata tu kila la heri.
 
Zaidi ya kuwa muislamu huna vigezo vingine ambavyo ungependa mume mtarajiwa awe navyo? Kwa mfano kiwango cha elimu yake, awe muajiriwa/amejiajiri n.k.....Kila la heri.

naitwa saida issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874
 
Zaidi ya kuwa muislamu huna vigezo vingine ambavyo ungependa mume mtarajiwa awe navyo? Kwa mfano kiwango cha elimu yake, awe muajiriwa/amejiajiri n.k.....Kila la heri.
Mkuu wanawake wa kiislamu huwa hawana neno la sivyo angesema
 
Zaidi ya kuwa muislamu huna vigezo vingine ambavyo ungependa mume mtarajiwa awe navyo? Kwa mfano kiwango cha elimu yake, awe muajiriwa/amejiajiri n.k.....Kila la heri.

We changamkia fursa unachimba kitu gani?
 
Reactions: BAK
Siyo kila muuliza swali kuhusiana na mada kama hii anataka kuchangamkia fursa, ni kujaribu kumkumbusha muanzisha uzi labda kasahau kuweka baadhi ya vigezo atakavyo au kigezo hicho kimoja kwake yeye kinatosha, yuko hapa anafuatilia uzi wake akipenda anaweza kufafanua mwenyewe.

We changamkia fursa unachimba kitu gani?
 
naitwa saida issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874

Chris Breezy hataki kukuoa?
 
I was just joking.....nisamehe bure kama umechukulia siriaz
 
Wala usikose raha banaaaa....jisikie huru kabisa wala sijanuna kabisa πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

I was just joking.....nisamehe bure kama umechukulia siriaz
 
kila la kheri mamito. ila usingechaguwa dini ingekuwa powa.

ila ata hao wahusika watakuja tu. Mungu akusaidie haja ya moyo wako uipate.
 
Aisee!
 
Last edited by a moderator:
Wacha utani wa kipuuzi we mtu mzima na govi lako!

Sister anatafuta mume Serious. Halafu we unaleta dhihaka!
Angekuwa Dadako huyu ungeandika haya?
Mnfnsssssssssss!

Aisee! Mkuu popote pale ukifika lazima uache alama ya utambulisho wako aka matusi. Uko kama fisi,popote anapoenda lazima anye kujulisha uwepo wake,wewe hivyo hivyo,matusi,mipasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…