Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha yako tukuone
naitwa saida issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874
Mkuu wanawake wa kiislamu huwa hawana neno la sivyo angesemaZaidi ya kuwa muislamu huna vigezo vingine ambavyo ungependa mume mtarajiwa awe navyo? Kwa mfano kiwango cha elimu yake, awe muajiriwa/amejiajiri n.k.....Kila la heri.
Zaidi ya kuwa muislamu huna vigezo vingine ambavyo ungependa mume mtarajiwa awe navyo? Kwa mfano kiwango cha elimu yake, awe muajiriwa/amejiajiri n.k.....Kila la heri.
insha-alah mungu atakufanyia wepesi wala usijariZaidi ya kuwa muislamu huna vigezo vingine ambavyo ungependa mume mtarajiwa awe navyo? Kwa mfano kiwango cha elimu yake, awe muajiriwa/amejiajiri n.k.....Kila la heri.
We changamkia fursa unachimba kitu gani?
naitwa saida issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874
Mkuu wanawake wa kiislamu huwa hawana neno la sivyo angesema
Siyo kila muuliza swali kuhusiana na mada kama hii anataka kuchangamkia fursa, ni kujaribu kumkumbusha muanzisha uzi labda kasahau kuweka baadhi ya vigezo atakavyo au kigezo hicho kimoja kwake yeye kinatosha, yuko hapa anafuatilia uzi wake akipenda anaweza kufafanua mwenyewe.
I was just joking.....nisamehe bure kama umechukulia siriaz
Ukiskia UISLAMU basi Ndio huo.
Dada yangu karueche HANA MAKUU. Kwa sababu Ana IMANI 100% Kuwa mgawa Rizki NI MWENYEZIMUNGU TU. na sio Mume.!
Sio wale Wagalatia WANAKUWEKEA Masharti kama Unanunua NDEGE YA KIVITA !
Mpaka Unaona Bora Ukatafute machangu mitaani.
We hushangai waefeso wengi sana KWANINI HAWANA WAKE? wamebaki kushika mkono tu!
na Vijana wa kiislamu Wengi wao WAMEOA?
Karibu ktk DINI YA HAKKI MKUU.
Huku ndiko kwenye mafanikio.
Wacha utani wa kipuuzi we mtu mzima na govi lako!
Sister anatafuta mume Serious. Halafu we unaleta dhihaka!
Angekuwa Dadako huyu ungeandika haya?
Mnfnsssssssssss!
Wacha utani wa kipuuzi we mtu mzima na govi lako!
Sister anatafuta mume Serious. Halafu we unaleta dhihaka!
Angekuwa Dadako huyu ungeandika haya?
Mnfnsssssssssss!