Natafuta mume wa kweli

Umesema una hitaji mwanaume asiye na elimu sana yqani asizidi diploma ila awe amekuzidi kipato ..... ushauri wangu kwa umri ulio nao mwombe MUNGU umpate anaye pumua tu ....mengine yote majaliwa kuna watoto wa 2000 .... wamenyoooka balaa na hawajaolewa .... punguza vigezo umeweka vingi sana
 
Njoo pm faster.. nina sifa zote hizo
 
Umeleta u-feminist mpaka red light imewaka sasa unataka mwanaume ila asiwe na elimu sawa na yako.

Unatafuta mdoli?haiyumkiniki miaka yote hii ulikuwa unachagua mume kwa vigezo vya kipumbavu kama hivi na nakwambia hutampata!
 
Yani apo wewe
1. Unataka mume
2. Unataka mkristo
3. Unataka elimu tofauti na diploma
4. Unataka mwenye kazi
5. Unataka mkarimu
6. Unataka muelewa
7. Unataka mwenye heshima
8. Hutaki mwenye wivu
9. Hutaki mwenye mtoto/watoto
10. Unataka mwenye umri 38-43
11. Unataka asiwe mrefu zaidi.
Nakukumbusha tu yani hapo unataka wanaume 11 tofauti.
 
all the best, kuna mbaba alikua anatafuta mke na yeye uzi waje wa kizungu kamjaribu huyo mnaeza mkaendana
 
Ujana kisheria mwisho miaka 35, ujana wako ulikula na nani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…