Natafuta mume wa kweli

Wanawake mnapoelekea mtaweka na kigezo kuwa mwanaume

Awe na 35+ na asiwe na Meno 32,yani awe hajatimiza idadi ya Meno

hivi serious nina miaka 38 nisisingiziwe hata mtoto,yani miaka yote

huko nilikuaga parokiani Mtakatifu Mavurunza ama nilikua nahudumu kama Katekista?

Dada mimi sina mpenzi ila nina watoto 3, Mimba 4, na nataka mkee,kimaukweli ukwelii ujueee...
 
Wanaume wa humu ndiyo wanaume wa kitaa yaani no difference tena wa huku..ni nafuu zaidi.
 
Huyu kashiba balimi hana lolote huyu.
 
Kwa hivyo vigezo na hiyo seriousness naona jinsi miaka itakavyosogea unsuccessfully
 
Mungu akujaalie hitaji la moyo wako mpendwa...mwaka usiishe huu
 
Uongo nimepima
Dada, wanawake Wengi mnatongozwa sana, hivyo mnajiona special, mnahis kuwa mna options nyingi na uwezo wa kupata mwanaume yoyote mnaemtaka, na mnahis mnaeza pata any high value man, kwa vigezo ulivoweka naona hiyo ndo moja ya sababu ambayo imekufanya hujaolewa hadi umefika miaka 34, the thing is unachagua sana, its almost like unataka a perfect man, top 1% man.. kwenye usichana wako huenda ulitongozwa na wanaume wenye nia njema ya kukufanya mke lakini ukawa kataa, kuwa realistic mwanaume gani wa kawaida mwenye kipato chake, miaka 38 hana mtoto/familia?, labda chizi..

Kwa umri ulio nao kwenye usichana wako, wanaume uliowapenda wamekuchezea wakakuacha, sasa unatafuta mwanaume bwege ambae hujavutiwa nae ili akuhudumie kipesa tecknologia23
 
Una watoto wangapi?.
 
Huyu home atakuwa Rchuga.
 
Vigezo vimenikataa:
-Kwenye umri hola
-Elimu hola
-Kipato haijulikani kma nimekuzidi maana haujaweka wazi kiwango.

Punguza vigezo[emoji16]
 
Wewe una miaka 34 una mtoto, halafu yeye awe na miaka 38 hadi 43 halafu asiwe na mtoto!!! Makubwa haya.
 
Miaka 38-43 asiwe na mtoto!!? Dada unatafuta mgumba mwenzio au?
Umuri umeenda hivyo una masharti lundo je ungekuwa na umuri sahihi wa kuolewa masharti yangekuaje?
Hata uwe seriously kiasi gani kwa masharti hayo endelea kuboresha chumba chako.
 
Hajawahi kupata mchumba anayempenda hadi umri huu kwa hiyo ameona isiwe tabu ngoja aingie mwenyewe kutafuta huruma inahitajika dada yetu asijezeeka bila kuolewa maana
Wewe una miaka 34 una mtoto, halafu yeye awe na miaka 38 hadi 43 halafu asiwe na mtoto!!! Makubwa haya.
Amesema mtoto hana.
 
Salaale🤣
 
Kumekucha...wakuu njoon mpge usahili huku....mimi msukuma wa watu sina hata kigezo kimoja mentioned hapo!!....lekaji bhabehi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…