Natafuta mume wa kweli

Natafuta mume wa kweli

Yeah,angekubali mwenye mtoto
Mkuu hivi ukiwa na miaka 40 kwa Mwanaume nyie wanawake uwa mnawachukuliaje ?

Mfano Mimi uncle wangu alioa mtoto wa miaka 18 na yeye alikuwa na 36 lakini wanaishi vizuri na mkewe je nauliza nyie wanawake age doesn't matter sio issue kwenu.? Maana vise versa yake Mwanaume wa miaka 40 kuoa mwanamke wa miaka 34 Inakuaga ngumu labda awe anafukuzia fursa huko ndoani
 
Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.

Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.

Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Miaka 34
Asiwe mlokole
Awe na kipato kukuzidi
Asiwe mrefu sana
Asiwe na wivu kupitiliza

Aaaa
 
Kuolewa au kuoa ni side effect ya mahusiano , % kubwa ya watu waliooana hawakutegemea kama wangeoana ila ilitokea tu wakajikuta wako kwenye mchakato wa ndoa. Me nashauri tumia muda wako mwingi kuwa kwenye mahusiano kuliko ndoa haijalishi utakaa muda gani ila ndoa haitafutwi kama kununua kiwanja au gari hivo vigezo ulivyoviweka haviwezi kukupa mume wa maisha yako
 
Back
Top Bottom