Natafuta mume wa kweli

Natafuta mume wa kweli

Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.

Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.

Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Huna akili, mwanaume wa miaka 38 hadi 43 hana mtoto?? Alikua Padre akafukuzwa au? Kwa ujinga huu watakukula hadi ufe
 
Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.

Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.

Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Miaka 34 ushaanza kuelekea uzeeni.

Watoto wabichi wanazaliwa kila siku.

Hapo labda upate mtu 45+ huko tena aliyetalakiana na mke.
 
Wanaume wa kuoa humu hamna dada pambana na hali yako tu

Kuna kipindi niliona tangazo la kutafuta mume likanivutia kutokana na vigezo alivyoweka
Ikabidi niingie pm
Nikajieleza sana humo lakini sikujibiwa hata kidogo na siku zikaenda mpaka leo sikuwahi kujibiwa
Since the time sina Shobo na taka kama hizi
Naona tu ni stress zimewaleta humu hamna zaidi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.

Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.

Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Kuna Mlokole kasha chuja, sasa hatutaki tenaa
 
Ulokole umempeleka mpk 34yrs..kajakustuka wenzie wameshajemga familia..@

Akuzidi kipato kivipi? Iwapo wewe hujaweka wazi kipato chako.!!
 
Wapo wengi, wanajiandaa kuja ili uchague mwenyewe. Ila ukigonga 40 na hujaona mtu, badili msimamo na kusema "aje mwanaume yeyote".
 
Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.

Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.

Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Kila la heri, Mungu akujibu sawa sawa na hitaji lako
 
Back
Top Bottom