Mr. Miela
JF-Expert Member
- Aug 2, 2007
- 1,254
- 2,121
Hongera🙂🙂Mi sitaki Bwana humu..yupo huku kitaa ananikwangua balaa😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera🙂🙂Mi sitaki Bwana humu..yupo huku kitaa ananikwangua balaa😋
[emoji38][emoji38][emoji38]Umeleta u-feminist mpaka red light imewaka sasa unataka mwanaume ila asiwe na elimu sawa na yako.
Unatafuta mdoli?haiyumkiniki miaka yote hii ulikuwa unachagua mume kwa vigezo vya kipumbavu kama hivi na nakwambia hutampata!
[emoji38][emoji38][emoji38] man!Nimeishia kusoma hapo uliposema una miaka 34
Huna akili, mwanaume wa miaka 38 hadi 43 hana mtoto?? Alikua Padre akafukuzwa au? Kwa ujinga huu watakukula hadi ufeNina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
What? [emoji38][emoji38][emoji38]Uongoo my sister kaolewa 45 na anawatoto 3 nasasa ana 55 na yupo fiti
Miaka 34 ushaanza kuelekea uzeeni.Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Hahaha [emoji1787][emoji1787]Miaka 43 asiwe na mtoto? Au nmeelewa vibaya. Nadhani mzabzab atakufaa.
Kuna Mlokole kasha chuja, sasa hatutaki tenaaNina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Kila la heri, Mungu akujibu sawa sawa na hitaji lakoNina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.