Natafuta mume wa maisha

Natafuta mume wa maisha

My inner voice inaniambia wewe ni ktk wale ma-feminist maarufu Jf mnaovimbiana vifua na wanaume pale imekuja mada ihusuyo ndoa na nafasi ya mwanamke kwenye ndoa so umri umeenda umeona bado maisha bila kuwa na mwanaume wako siyo salama.

Kuna ukweli wowote?nikiona ID mpya ya kike imekuja na shida kama hii huwaga nawaza mbali sana.
 
jesca2 Kipind una 23 Years ulinibaniaga wakat nilikua serious. Saiv tungekua na mtoto mmoja au wawili.
Lakini naona unajitangaza sijui umegeuka biashara siku hizi😂😂😂😂😂

Anyway kila la kheri na upate faida maradufu
 
We ni jasiri iyo age bado ume weka vigezo ulikua wapi enzi za ujana [emoji28][emoji28][emoji28]teh teh teh

SUBIRI KIDOGO
Mkuu kuna haja ya kuongeza kitu???huyu taa nyekundu imeshawaka hapo mbele mbele hata asiyekuwa mtafutaji atapita nae.
Screenshot_2021-03-06-17-04-51-455_com.facebook.katana.jpg
 
Ulipokua ukitongozwa si ulikua jeur..sasa nikwambie kitu..katika umri huo wenzio huwa wanamkubali yeyote yule anaekuja mbele yao....weng tumewashuhudia wanafanya hvyo...wanaolewa na wasiowapenda ilimrad apate heshima ya ndoa ....na ndo weng wanaongoza kuchepuka
 
Hello! Mm ni mwanamke
Umri 34
Mkristo
Mtumishi wa umma
Elimu ya juu(degree)
Sijawahi kuzaa koz sijaolewa.
Natafuta mwenza awe mkristo, umri 35 mpka 50, awe mtafutaji karibu.
Jesca usijali mama utampata

Vipi makanisan, kazin, sokon huko n.k hujaona?


Maana humu wengi ni wala kimasihara.
 
Hello! Mm ni mwanamke
Umri 34
Mkristo
Mtumishi wa umma
Elimu ya juu(degree)
Sijawahi kuzaa koz sijaolewa.
Natafuta mwenza awe mkristo, umri 35 mpka 50, awe mtafutaji karibu.
Mimi miaka 50 yangu hii tutawezana kweli? Nisipokukojoza je si nitaibiwa na vijana damu moto! Au unampango wa kuvuna mali zangu tu utembeee
 
Hello!

Mimi ni mwanamke
Umri 34
Mkristo
Mtumishi wa umma
Elimu ya juu(degree)
Sijawahi kuzaa koz sijaolewa.

Natafuta mwenza awe mkristo, umri 35 mpka 50, awe mtafutaji karibu
Samahani jesca2 , unaweza ukajazia jazia kidogo nyama kwenye hii CV yako, hasa kwenye kipengele cha umbo lako, kimo chako na rangi yako ya mwili?

Ujitahidi basi kunijibu mapema kabla sijafumaniwa. Hii ni kwa faida ya wanaume wengine wenye uhitaji mkubwa wa kupata wanawake bora kabisa wa maisha yao.
 
Back
Top Bottom