Natafuta mume wa mtu

Natafuta mume wa mtu

Haaaa we mama huogopi kuganda kama yaliowakuta wale wa Temeke ?
 
Nimechoka kuhangaika na masharobaro kwani ni kero tu

1. Hawajui kujali
2. Hawajui mapenzi
3. wanapenda kutunzwa


Nataka mume wa mtu mwenye uwezo wake na pia anaependa familia yake na kuijali sitaki jitu lakuja kuniletea malaana mimi.

Kama uko serious ni PM tuanze mchakato.
Hapo kwenye bold, uwezo wa kupiga bao nyingi au..???
 
Uko wapi nikufate? Me mume wa m2 na najali familia yangu bt naweza kukupa huduma.
 
Nimechoka kuhangaika na masharobaro kwani ni kero tu

1. Hawajui kujali
2. Hawajui mapenzi
3. wanapenda kutunzwa


Nataka mume wa mtu mwenye uwezo wake na pia anaependa familia yake na kuijali sitaki jitu lakuja kuniletea malaana mimi.

Kama uko serious ni PM tuanze mchakato.

Umempata kama bado nipo mie, nina mke pesa sina ila uwezo wa kukutunza ninao niambie unapatikana pande ipi ya nchi mie niko Mbeya kikazi
 
Mume wa mtu ugonjwa wa moyo, labda kama hao wake hawajui kumlilia Mungu wao. Ndugu subiri wako anatengenezwa.
 
Huwa napenda kuiweka karibu movie moja ya Beyonce na Idriss Elba inaitwa Obsessed.

Nikikutana na mambo kama haya naenda kuangalia tena na tena na tena huwa siichoki!
 
nimechoka kuhangaika na masharobaro kwani ni kero tu1. Hawajui kujali2. Hawajui mapenzi3. Wanapenda kutunzwanataka mume wa mtu mwenye uwezo wake na pia anaependa familia yake na kuijali sitaki jitu lakuja kuniletea malaana mimi.kama uko serious ni pm tuanze mchakato.
ngoja uje upigwe hadi unye,huogopi mume wa mtu? Ni sumu,ngoja uone,zako zimekaribia kuisha wewe!
 
Back
Top Bottom