Fursa nzuri, Je kidato cha sita hata kama kapata 0 fressh na awe na watoto wangapi? Maana kamaliza six na miaka 18 mpaka 45 = 27.Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.
Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
[emoji1] [emoji1]Punguza Kidogo Umri.
Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.
Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Umri wa kuweka vigezo umeshampita, na akiendelea kidogo ht kigezo cha angalau form six kitafutika kitabaki m'ume yeyote ili mradi anavaa suruali..-->at least vigezo vimepunguzwa hongera dadaa /
Hi mambo
Hi,habari,ww unapatikana wapi kwa sasa.Dec 1,1969.
age dosnt matter..amani tu ndani ya nyumba muhimu.
Nimekwama hapo kwenye vidato tu....najua umri tungevumiliana.....
yani ww jamaa hua karibu kila post ya hivi unapungukiwa vigezo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]