Natafuta mume

Natafuta mume

Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.

Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Nipm please
 
Wanaume wenye umri ulioutaja hapo wengi washaoa na wanafamilia zao
 
Nyie wasichana ....me nawashangaa mnavojisahau yan ...MTU ana miaka labda (22) lakini yeye bado anajikuta mtaalamu wakupiga mizinga ....sasa msichana wa type hii akifisha miaka (27) afu bado akawa hana mahusiano rasmi..ujue yupo katika hatari kubwa...ndo hawa unakuta wanatangaza et wanatafuta mume.....kwa nijuavyo Mimi....msichana anayejiheshimu na kujielewa ...akiwa na miaka (25+) lazima awe katika mahusiano rasmi...
 
Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.

Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Hapo kwenye Elimu punguza sasa me nina Diploma na Kazi ninayo je? Huoni kuwa bado unabana kuwa na Degree sio ishu maisha ya sasa yanahitaji kuwa creative na kujiajir watu na degree zao wanasota Tu kitaaa wakiamini cheti ndo kila kitu
 
Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.

Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Haya Dada kila la heri sisi elimu zetu ndogo.
 
Hivi nyie mnaotafuta mke/me humu JF inamaana huko mlipo wote wana wake/waume au lengo ni kupata mke/mume great thinker?
 
Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.

Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Njoo pm
 
Tuwasiliane
 
TUWEKEE PICHA ILI TUKUONE.......
 
achana na wanao kubeza vumilia utampata ungepunguza umri ungenipata mimi
 
Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.

Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Kiukweli suala LA Elimu kama ndo kipaumbele chako utakuwa umefel Kuna watu kama mimi Elimu yangu drs LA 7, wana miradi mikubwa na wanajua nini maana ya mapenzi na nini maana ya kutengeneza familia na wana future Ila kama unajidanganya mwenye kuanzia form six+ ndo mwenye future utasubiri sana..
 
Back
Top Bottom