Natafuta mume

Natafuta mume

Kama bado hajapata mwambieni Mimi nipo tayari kua mme wake wa maisha
 
Bora yako wewe hujaweka mambo mengi kwa yule umtakakaye utafanikiwa uwe na subra
 
Umri wa kuweka vigezo umeshampita, na akiendelea kidogo ht kigezo cha angalau form six kitafutika kitabaki m'ume yeyote ili mradi anavaa suruali..
Halafu awe na nyoka. Baaaas.
 
Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.

Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Naomba no yako tuwasiliane
 
Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.

Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
una mtonyo, ?
 
WAnaume wa dar tuuh ndio waotakiwa..?!
 
Nahisi Jengo ni lile lile tu ila sasa hivi limepakwa rangi mpya.... Joined. july 18,2016.
Jf ni kichaka kinene kama sio msitu kabisa, Kuna watu humu ndani wanaheshimika kwa uamdishi wao na kukashfiwa kwa pumba zao

ila ikitokea siku kila mtu akamjua member mwenzake kuna watu watakimbiwa na wengine kung'ang'aniwa kama njugu
 
Back
Top Bottom