Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Karibia nitatimiza vigezo ndugu.....ngoja niendelee kuwa na subira.....
salama wa EATV vip hakufai?
Yule hanifai bwana.....yule mgumu sana.....nataka mtoto wa kike mwenye kuujua uanamke.....sio mwanamke ambaye anaujua uanamke wake kipindi cha hedhi tu.....
mkuu una maneno kuntu daah
umeona ee??kizuri chajiuza kibaya chajitembeza kwelii
Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.
Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Si vyema kumkatisha tamaa mwenzioHupati
Give up not my dear ..... just keep on praying without ceasing ..... God always answers prayersMimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.
Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Jamvini humu utani na masihara mengi ms amandaVipi shost ulishapata?
Hata kama mtu alikuwa na mpango huo anaghairi mana watu wanamajibu yanachoma mbayaJamvini humu utani na masihara mengi ms amanda
umeona eeee feitty ..... na waweza jikuta unaoa/kuolewa na mme ama mke hewa [emoji28] [emoji28] [emoji2] [emoji2] [emoji29] [emoji29]Hata kama mtu alikuwa na mpango huo anaghairi mana watu wanamajibu yanachoma mbaya
[emoji23] [emoji1] [emoji23]umeona eeee feitty ..... na waweza jikuta unaoa/kuolewa na mme ama mke hewa [emoji28] [emoji28] [emoji2] [emoji2] [emoji29] [emoji29]
Mara oooo nnakupenda sana mpenzi wangu njoo tuyajenge .... UONGO MTUPU[emoji23] [emoji1] [emoji23]
Unajikuta unajenga maumivu tu.Haya mapenzi hayaMara oooo nnakupenda sana mpenzi wangu njoo tuyajenge .... UONGO MTUPU