Natafuta mume

Natafuta mume

Dinii muhimu mdogo wangu otherwise mizinguo tu, mwanzoni mtajifanya Dini sio issue lakini I tell baadae dini ndio kila kitu ..... sema dini ni gani vijana wezio wapo kede kede

Kweli kabisa ugumu wa ndoa Unakuja Kwenye Dini Hasa kwa watoto
 
~~~>>>>>Naomba nafasi ya kukaimu hiyo nafasi wakati unamsaka wako wa Milele.........

~~~>>>>..... Nakuahidi kukupatia Penzi lililotukuka............
 
Wakuu pitieni hii post mtagundua huyu ni mbabaishaji![emoji116]
Natafta mchumba awe mume wa baadae
Hii picha yake alipost alipo anza kutumia hiyo Id

8256a8d6432d503e3d859240a6f43d49.jpg
Anacheza na vichwa vya JF anafikili atobainika na ukich#eche# wake..
 
Mimi ni binti wamiaka 24, elimu yangu ni diploma ya nursing nimejitokeza kwenu wanajamii, nilikuwa natafuta mume alieko siriaz na ndoa nasio kuumizana, sichagui dini lakini awe anajishughulisha na shughuli yoyte yabkumuingzia kipato pia anizidi umri kuanzia miaka 25 kuendelea.

Alieko tiyari naomba uje pm tuzungumze.

Note; Utani siitaji kwasababu nipo siriaz zaidi mnavyofikiria sababu niko siriaz sana.
mm sijui hata namna ya kumcheki mtu pm msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom