Natafuta mume

Mwanamke wa kiislamu anayeukataa uke wenza haifahamu dini yake.

Unakuta mwanamke haitaji uke wenza ila yupo tayari kutembea na mume wa mtu na kuhudumiwa kila kitu (eti wenyewe wanadai kuwekwa mjini) na ndoto zao wapate wanaume walio wao pekee ikiwa wao wanatembea na waume za wanawake wenzio haya ni maajabu yasiyo na mfano.

au mwingine yupo tayari aolewe kwa siri ndugu zake wasijue lah...
 
Ninazo Sifa hizi vipi utakubali
1kubadili dini?
2kuwa chini yng
3staki kuzaa tena Upo tayari kukaa bila mtoto
 
Masha Allah akulipe kwa kweli wako mimi ktk hizo sifa ninazo njoo in box tuongee
 
Msema kweli mpenzi wa MUNGU.
Angalia masharti uliyoweka,na umri wako ndo unakuacha.
MUNGU AKUJALIE TUU
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shenzzzz wewe dadangu
kaka thio mimi [emoji85] shikamoo kaka tumekumiss jamaan
heri ya pasaka tunajua wii kakubana leo usitoke
 
Pambanua zaidi unataka timu vibamia au mkono wa mtoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…