Natafuta mume

Mungu akusaidie hitaji lako dada

hiyo rangi ya maharage ndio rangi gani
Usishangae.. Watu wamechoka kuitwa MAJI YA KUNDE siku hiz.. Wamebuni yangu yao mpya kuleta utofaut..
Bip ug wabongo kwa ubunifu uliotukuka
 
Dah...tulipkuwa above tunapitwa na mambo.....
 
hahahhh kwahiyo rafiki ukipata utatoka kwenye mtego
me nakuombea upate ukipata niletee mrejesho
Rafiki napata sana shida kupata chura!!.........Hii kitu inanizuia kuoa sijui hata nifanyeje!!
 
thamani ya mwanamke kwangu n kumzalisha mpaka mayai ya uzazi yaishe vp upo tayar
 
 
mambooo
 
Nipo hapa ondoa hofu
 
na bahati pia inachangia kaka unaweza ukafanya vyote hivyo na kuolewa usiolewe
Nakubaliana na ww, maana kuna watu wameolewa ukijiuliza ni vigezo gn vimempa hyo fursa hupati jibu, japokuwa kuna wale ving'ang'anizi ambao ameshasoma alama za nyakati, anatembea na ww kw target, ukimtia mimba tu ye anaihesabu ni ndoa coz hatoi na hana mpango mbadala....fasta anajipeleka kujitambulisha ht km hujamtambulisha anawatafuta ndg zako walipo na kuanza kujiweka karibu, utasandrra!!!
 
Kama huna sifa au unatafuta mtu wa kujitimizia haja ya mwili wako naomba ukae pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…