Wapendwa
Mimi ni mgeni kwenye jukwaa hili, pamoja na kujiunga ili kutoa mchango wangu katika hoja mbalimbali nimeona sio vibaya pia nikachukua fursa ya kutafuta mwenza wa maisha
sifa zangu;
- Nina umri wa miaka 37
- Sijawahi kuolewa wala sina mtoto
- Naishi Dar na ninajitegemea
- Ni mjasiriamali
- Nimelelewa kwenye familia ya Islam
- Elimu yangu ni kidato cha nne
- Nina mwili wa kawaida (sio masongange), rangi ya maji ya maharage
Napendelea Mweza ninaye muhitaji
- Awe na miaka 45 na kuendelea
- Akiwa na mtoto ni sawa; nipo tayari kumlea kama mwanangu
- Asiwe kwenye Ndoa ila kama alisha wahi kuoa haina tatizo
- Awe na kipato (mjasiriamali au ameajiriwa)
- Awe najua dhamani ya mwanamke katika nyumba
Kwa aliye tayari karibu pm tuchati