Natafuta mume

Delightness

Member
Joined
Apr 19, 2017
Posts
20
Reaction score
29
Mrejesho :
Nashukuru kwa mlionidhihaki na maneno na matusi yenu but mi sio aina hiyo ya wasichana mnaodhani niliweka vigezo vile kupima ni aina gani ya wanaume waliopo Tanzania but nimegundua wengi wenu kujiamini ni ziro ila wanachojua ni matusi but naishukuru Jf kwa kunipatia mpenzi ambaye ni mwalimu wa Secondary kwa shule flani hapa dar ingawa PM walikuja wengi kwa kujifanya wana pesa but sikuhitaji vyote hivyo ila nilihitaji mwanaume ambaye anajiamini as a man
AHSANTENI SANA WANA JF


Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
 

Wewe una rangi, umri na kazi gani?
 
Kila la heri. Ila kwa akili zetu wanaume na kwa mwandiko huo sijui
 
Acha kuleta vigezo vingi
 
Reactions: SDG
kama umekosa kote kwenye makundi yote, I mean, Uliposoma, kanisani, Mtaani, Kazini, Kwenye Mahotel yote, then waja hapa na masharti kibao??????? Hemu jitafakari tena Dada yangu.
ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti
 
Yani mwanaume awe na sifa zote hizo afu awe hajapata mtu anakusubiri wewe, kwanza mwanaume ukiwa na hizo sifa unatongozwa wala hutongozi, hapo ulitakiwa utoe na counter offer, yani what special will you offer.
 
Mpaka unaamua kutangaza hapa ni wazi kuwa wewe hufai, hata kukuona hawakuoni[emoji23][emoji23]
naonwa tena sana ila shida wanaoniona wote nahisi tuko value tofauti cause nishakuambia sitaki degree holder so hao siwahitaji na ndo wengi wanifatao
 
Reactions: SDG
Mimi nalima matikiti maji, naruhusiwa kuapply?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…