Natafuta mume

Kipato milioni moja kwa mwezi...mama unataka kubadilishana kipato chake na nini?
 
Masharti kibao..lkn utamkuta waajabu!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mm vigezo vyoote ninavyo icpokuwa kimoja tu, ndo namalizia masters yng vp niku-pm?
 
Hongera dada wenzio wameolewa na ma Dr wenye degree 1 mpaka sasa wana PhD sasa utasubili sana labda aliyeacha mkea au mgane wengi ni degree1 anaoa nyingine inaunga huko huko, lakini sikuvunji moyo endelea kusubiri riziki yako usiwe na haraka
 
Vigezo na Masharti hayo jamani!!!!
Wasifu wako umejikita kwenye elimu tu? Au hadi PM?
Eleza wasifu wako ili tujue ni mzuri kiasi gani.
 
Nnachomsifia huyu dada kawa muwazi yaan hivyo vigezo alivyovitaja ndio hitaji haswa la wanawake 97% wanaotaka kuolewa nowdays.....tatizo kubwa wanashindwa kufahamu ndoa/ mapenzi na bussines/Pesa its two different matters ukivimix rahis sana kutaka kumfanya mke au mume kuwa ndondocha.
Anaehitaji kufanywa ndondocha amfuate huyo dada PM.
Wadada wa siku hizi mmezidi tabia chafu za wale wadada wenye tabia chafu waliotajwa kwenye vitabu vya dini.....Yaan hata shetani atawaogopa.
 
naonwa tena sana ila shida wanaoniona wote nahisi tuko value tofauti cause nishakuambia sitaki degree holder so hao siwahitaji na ndo wengi wanifatao
Value unazohisi unazo ni fake, hazithaminiwi na wanaume wa hizo value ulizozitaja walizo nazo. Zako ndizo hizo unazokutana nazo daily. Kuwa makini lifespan ya usichana ni fupi sana hata siku inamata, kesho ukumbuke kushusha value zako automatically iko hivyo.

Mbaya zaidi huyo umtakaye unamuhitaji awe single tena ikiwezekana hajawahi hata kuwa na mtoto, unajichelewesha. Lazima uolewe kama nyumba ndogo, visichana vikali vinamaliza six, mwenye masters tena dokta ama injinia, anaweza akajiopolea haka, akakizalisha, then akakipeleka ualimu, wasomi wengi wanapenda wake zao wawe walimu. Usijicheleweshe, kamatia fursa zilizoko mbeleni mwako, ushauri wa bure.
 
Kubwa zaidi, sista mwenye tatizo kama lako si wewe pekee, liko kwa wanawake wasomi wote, na mwisho wa siku huishia kuwa masingle mothers, wanawake wasioolewa nk.

Hupenda kuolewa na vijana wenzao wasomi, tena zaidi yao. Wasiowahi kuoa wala kupata watoto. Wakati wenye sifa hizo huwaona madada classmates au hata wenye degree moja kuwa ni wazee, kwa wale wasiooa, kwa waliooa huwafanya kuwa michepuko tu.
 
na ndo mana nimefungua account mpya cause nilijua ujinga kama huu hautakosekana ila mwambie daby nampenda ila simuamini kabisa cause huyo ni most wanted humu
Delightness hauniamini kwanini mama!

Ila nakutakia mafanikio mema ufanikishe hitaji lako la moyo.
 
Kwa mwandiko wako sijui kwa kweli kama hawa viumbe wataelewa
 
Unataka engeneer una bikra?Sisi ma engeneer hatuoi wasio na bikra
 
Siku hizi mwanamke harusiwi kujipangia mume we kama ni wa kuomba kwa mungu omba kama unasubiri jirani akuonyeshe subir Lakin kama ni huku jf aisee hakuna kabisa na ukimpata we mpe anachotaka akimaliza asepe ukishindwa pia kawachukue wale wa part time koner bar
 
Masharti kibao kama vile hujiamini!
 
ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti
PITA HUKO...WENYE VALUE HUWA HAWAJI KUJINADI JF...Wanaolewa immediately baada ya kumaliza masomo.
Mna value tofauti?...Kwa hiyo unataka kumpiga chini mshikaji ili upate mwenye values sawa na ww...
Kwa mwandiko huo...wewe hutokaa uolewe na ukiolewa utaachika before even A year....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…