Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Value unazohisi unazo ni fake, hazithaminiwi na wanaume wa hizo value ulizozitaja walizo nazo. Zako ndizo hizo unazokutana nazo daily. Kuwa makini lifespan ya usichana ni fupi sana hata siku inamata, kesho ukumbuke kushusha value zako automatically iko hivyo.naonwa tena sana ila shida wanaoniona wote nahisi tuko value tofauti cause nishakuambia sitaki degree holder so hao siwahitaji na ndo wengi wanifatao
Umeona n shiiidaaaahwanaume kazi mnayo .
Delightness hauniamini kwanini mama!na ndo mana nimefungua account mpya cause nilijua ujinga kama huu hautakosekana ila mwambie daby nampenda ila simuamini kabisa cause huyo ni most wanted humu
Masharti kibao kama vile hujiamini!Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
Unajiuza?ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti
PITA HUKO...WENYE VALUE HUWA HAWAJI KUJINADI JF...Wanaolewa immediately baada ya kumaliza masomo.ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti