Hutakaa umpate...afu mbona unadharau proffessional za watu?...Eti sitaki mwl yeyote yule....eti nipo above 30 ningekuwa above ningekuja na vigezo vyote hivyo ukiona hivyo it means I am still young that's why sihitaji bora mume ila mume bora
Huyu anatakiwa amuumbe mwenyewe huyo mwanaumewanaume kazi mnayo .
karibu,nipigieMimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
NADHANI wewe unatafuta shamba la bibi ili uvune utakavyo,mume ni ghali kuliko hayo unayotaka,HAUFAI KUWA HATA MSAIDIZI WA MKE, MAANA sifa ya mke ni uvumilivu,mapema tu unaonekana hauna wala haujui sifa hizo,NAKUSHAURI tu, INAONEKANA wewe ni kahaba,fungua Night club yako hao wenye masters na 1m za UHAKIKA labda watakuja kukuchukua usiku ,ASUBUH unarudi!Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
Ungekuwa wa thamani kubwa kiasi hicho cha kustahili mwenye vigezo vyote hivyo, ungekuwa umeshaolewa. Ukiona biashara inatangazwa sana ujue imedoda. We subiri kumegwa tu, huna dili.Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
Hufai kabisa umesema mkristu wa aina yeyote then msabato haruhusiwkama umekosa kote kwenye makundi yote, I mean, Uliposoma, kanisani, Mtaani, Kazini, Kwenye Mahotel yote, then waja hapa na masharti kibao??????? Hemu jitafakari tena Dada yangu.
Hufai kabisa umesema mkristu wa aina yeyote then msabato haruhusiw
NADHANI wewe unatafuta shamba la bibi ili uvune utakavyo,mume ni ghali kuliko hayo unayotaka,HAUFAI KUWA HATA MSAIDIZI WA MKE, MAANA sifa ya mke ni uvumilivu,mapema tu unaonekana hauna wala haujui sifa hizo,NAKUSHAURI tu, INAONEKANA wewe ni kahaba,fungua Night club yako hao wenye masters na 1m za UHAKIKA labda watakuja kukuchukua usiku ,ASUBUH unarudi!