Natafuta mume

Natafuta mume

eti nipo above 30 ningekuwa above ningekuja na vigezo vyote hivyo ukiona hivyo it means I am still young that's why sihitaji bora mume ila mume bora
Hutakaa umpate...afu mbona unadharau proffessional za watu?...Eti sitaki mwl yeyote yule....
Kuna Ma-lecturers(Prof,Dr) nao ni walimu...
You seem to be too low.
 
Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
karibu,nipigie
 
Masharti kibao utadhani naandikishwa kwenda peponi. Kwani wewe dada kwa mwezi unaingiza shingapi?? Halafu ndoa sio biashara kwamba inakuja na faida. Weka picha tukutathmini wewe ni bei gani
 
value ya mwanamke sio elimu wala uzur alio nao wala contour figure aliyo nayo but upendeleo udanganya na uzuri ni ubatili bali mwanamke. amchaye BWANA ndiye atakayesifiwa
 
we mdada utakua na kisirani,,majibu yako tu kwanza nani atadhubutu...
 
Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
NADHANI wewe unatafuta shamba la bibi ili uvune utakavyo,mume ni ghali kuliko hayo unayotaka,HAUFAI KUWA HATA MSAIDIZI WA MKE, MAANA sifa ya mke ni uvumilivu,mapema tu unaonekana hauna wala haujui sifa hizo,NAKUSHAURI tu, INAONEKANA wewe ni kahaba,fungua Night club yako hao wenye masters na 1m za UHAKIKA labda watakuja kukuchukua usiku ,ASUBUH unarudi!
 
Ungekuwa wa thamani kubwa kiasi hicho cha kustahili mwenye vigezo vyote hivyo, ungekuwa umeshaolewa. Ukiona biashara inatangazwa sana ujue imedoda. We subiri kumegwa tu, huna dili.
 
Mimi nafikiri ni vizuri watu wakubali kutofautiana
  • Sifa alizotoa huyo dada ndizo hizo anazohitaji; Sasa kwa nini unataka aandike sifa zako unazo hitaji wakati kila mtu anauchaguzi wa anacho kihitaji/kipenda?
  • Kama na wewe ni muhitaji kwa nini usiandike tangazo lako ukaweka Sifa unazopenda ambazo ni rahisi kumpata umpendaye?
  • Natamani sana kuona watu wakiheshimu mawazo ya mtu hasa kama hayana madhara yoyote; Si unapita tu kama haikuhusu....shida iko wapi??
  • Mimi mwenyewe napotezea hapa japo sijafurahishwa na watu wanavyoponda as if ni lazima ku comment!!!
 
NADHANI wewe unatafuta shamba la bibi ili uvune utakavyo,mume ni ghali kuliko hayo unayotaka,HAUFAI KUWA HATA MSAIDIZI WA MKE, MAANA sifa ya mke ni uvumilivu,mapema tu unaonekana hauna wala haujui sifa hizo,NAKUSHAURI tu, INAONEKANA wewe ni kahaba,fungua Night club yako hao wenye masters na 1m za UHAKIKA labda watakuja kukuchukua usiku ,ASUBUH unarudi!

Afu nani alimwambia mume ndo vitu alivotaja apo angejua kuna watu wana waume zaidi ya izo sifa lakin wanaish Kama awana Mme,anyway nisimkatishe tamaa,..yesu alisema kile ukiombacho amini ushakipata,..
 
Back
Top Bottom