Natafuta mume

Sidhani kama upo kamili au una sifa stahiki,maana ungekuwa na sifa hapa usingefika maana upo unapokaa na kupita ungekua umeshapata,na nani anataka kutongozwa na mwanamke?subiri utafutwe kama unatafuta basi una kasoro za wazi.
 
haya mabandiko siku iz yanaboaaa....kama ungekua expensive wakumtaka mwanaume waivo mbna ungekua umeshampata ata uyu usingekuja kujianika...we sema natafta mume iyo misifa peleka mbelee....masters umemsomessha ww??,,,iyo mil biashara ulimfungulia???
 
sina sifa haya umeridhika
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha nicheke tu
 
ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti

Wanawake mnaboa sana, hizi akili sijui mwaziweka wapi, wote waliokuona hawajaiona hiyo value, sisi tusiokuona ndo waja kutuimbia hapa una value. THAT MINDSET ya kusema una value na unaiona it will repel wanaume, niamini mimi! kwenye andiko lako waonyesha clearly unyenyekevu ni sifuri, na niamini mimi, wanawake wazuri na wanaojua thaman zao wanaishia kupigwa tu, wanaoonelwa ni wale wanyenyekevu wanaojitambua hata kama sura zao ni average, Wanaume hawaoi wanawake ili kufungua kampuni ya mamis na ma modo, wanaoa ili kulea familia. KILA LA KHERI dada yangu, Dont take this personal.
 
haya mabandiko siku iz yanaboaaa....kama ungekua expensive wakumtaka mwanaume waivo mbna ungekua umeshampata ata uyu usingekuja kujianika...we sema natafta mume iyo misifa peleka mbelee....masters umemsomessha ww??,,,iyo mil biashara ulimfungulia???
hayakuhusu unanipa lecture nimekuambia na shida na mafundisho yako
 
haya mabandiko siku iz yanaboaaa....kama ungekua expensive wakumtaka mwanaume waivo mbna ungekua umeshampata ata uyu usingekuja kujianika...we sema natafta mume iyo misifa peleka mbelee....masters umemsomessha ww??,,,iyo mil biashara ulimfungulia???

Mbaya zaidi unaweza ukakuta kituko hicho... ukachoka....
 
Umempa ushauri mzuri lakini sidhani kama atakuelewa.... hamna mke hapo.. maslahi zaidi...
 
ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti
we ungekua navalue unayojifanya nayo ungekuja kujitangaza apa???....nyie ndo wale mbwembwe nyingi kumbe mna maumbo km tembo mgongo umeunganika na kiuno....kama unae c umwambie akuoe????...kama hana mastas msomeshe au mpe mtaji il awe na iyo mil kwa mwezi...wadada km nyie ndo wale mnazeekea kwenu nanyodo zakifala wkt mnahitaj ndoa....nahc kwanza you are above 30 kwa iyo tayar upo desperate...
 
naonwa tena sana ila shida wanaoniona wote nahisi tuko value tofauti cause nishakuambia sitaki degree holder so hao siwahitaji na ndo wengi wanifatao
value ni mahindi ww???....umesoma degree yambolea nn??...alaf iyo degree yako itakua yavile vyuo vingine vingine...zayuni....umentibua ww dada ningekua moderator ningeufunga u uzi wakijinga kabisa
 
eti nipo above 30 ningekuwa above ningekuja na vigezo vyote hivyo ukiona hivyo it means I am still young that's why sihitaji bora mume ila mume bora
 
Walimu TENA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…