Natafuta mume

Account hii ya pili usipompata usisubiri kuambiwa jua limezama
Ungekuwa na vigezo si ungeacha account ile ya zaman halafu Daby anakujua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama una mtu unahangaika na nn? Acha tamaa dada angu it cmz huyo utakae mpata c utamsalt pia? U women!!!!!!!!!!!!?
 
Lita kuchwea kwa vigezo kwan wew mwenyew vigezo hivyohuna jidanganye kama uja kuta meno_pose hyo no ndoa
 
Ww utakuwa ushapitia mambo mengi.sana ushauri wangu subiri mwenye sifa hizo bado hajazaliwa endelea kusubiri ila hinipayi ng'o!!
 
Hupati Ng'o wemekutumia sasa unachagua hivyo ili iweje?
ningekuwa used nisingechagua hivyo na pia ndo mana we unaweza kununua kiatu elfu ishirini na kikafanana na chako but mwingine akanunua laki so try to understand quality huwa zinatofautiana za kitu chochote hata binadamu pia tuna quality na quantity differ
 
Kwa vgezo ulvyotoa.
Je we unakaz gan, ucje kuta ndo wale wasio na ajira
 
I hope unatafuta business partner, sio mume!
 
sifa zote ulizo zitaka mimi ninazo sasa je ntakupata vipi?wewe bibie.hata mimi nimekupenda sana.
 
Mwanamke anaolewa kwa uzur wake na tabia yake ya kujiheshimu na ustaarabu
 
Kwa vgezo ulvyotoa.
Je we unakaz gan, ucje kuta ndo wale wasio na ajira
sina kazi nataka mtu aje kunisaidia kulipia deni la heslb nadhani umeridhika na hii thread haikuhusu nenda kwa aina zako
 
ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti

Wanawake kazi mnayo. Utakuja kukumbuka shuka kukiwa kumekucha...... Tena siku hiyo utajua maana halisi ya 'Value'
 
Hebu weka vigezo vyako...
Una umri gani?
Elimu yako...
Kazi yako...
Pato lako ni kiasi gani kwa mwezi..
Dini yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…