Natafuta mume

Natafuta mume

unataka kuolewa sio... basi jiweke kama mke... taja umri, kama ulishazaa au laa, dini na pia elimu yako!
hapo ndo watakuona unajitambua.. sio kifupi hivyo..!!!!
 
Mkuu hao ni member wazoefu wa kitambo humu JF ila wanafungua account maalum kutafutia mume kwa vile zile ID zao za kawaida walishatukana sana wanaume au walikuwa wana nata sana na maneno ya shombo kibao sasa aibu wakiomba poo.
Teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom