Nicheki inboxNaitwa morice naishi dar Natafuta mume wakunioa awe msomi na mwenyewe hofu ya mungu
Hofu Ya Mungu UnaijuaNaitwa morice naishi dar Natafuta mume wakunioa awe msomi na mwenyewe hofu ya mungu
Labda anatafuta mume aliyeoa amfanye kuwa mke wa pili.Unamtafuta mume wa kukuoa...!? Hautompata humu, labda kama unatafuta mchumba wa kukuoa.
Anyway I wish you well on your searching.
Mawazo yako yana mashiko mkuu. Naunga mkono hoja afafanue.Unatafuta mume au mwanaume wa kukuoa? Kwa sababu mume ameshaoa au unataka uwe mke wa pili au zaidi? Fafanua.
Ntakupataje sasa?Naitwa morice naishi dar Natafuta mume wakunioa awe msomi na mwenyewe hofu ya mungu
[emoji23] wala haitaji alieajieriwa cjui watakula majani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mahitaji yako mazuri sana maana hauna vigezo vingi,msomi kwa maana ya(KKK) kujua kusoma,kuhesabu na kuandika siyo??
Morice ni jina la kiume harafu unatafuta mme!! Kwani hiyo sheria imepitishwa hapa tz?Naitwa morice naishi dar Natafuta mume wakunioa awe msomi na mwenyewe hofu ya mungu