Natafuta mume

Natafuta mume

Msomi bila kazi, wasomi wengine hao hao unaowaona wanaokota chupa za maji, hawana namna Magu kawapiga ban... Wenzio wanatafuta mwenye hela... Huyo msomi utamjuaje sasa, aje na CV! Penye pesa utapajua. Kila la heri
 
Mbona huoneshi kama upo serious dada angu?

Yani hujaandika anything kuhusu wewe. Yani umeenda direct kama jeshini tu. Hebu tulia alafu uedit bandiko lako.
 
Unamtafuta mume wa kukuoa...!? Hautompata humu, labda kama unatafuta mchumba wa kukuoa.
Anyway I wish you well on your searching.
Labda anatafuta mume aliyeoa amfanye kuwa mke wa pili.

Au anatafuta mume wa kumuoa kwa maana mtu mume (jinsia), na si mke, maana siku hizi wanawake kwa wanawake wanaoana.
 
Back
Top Bottom